mawazo

  1. Naomba mawazo yenu wakina dada (hata wakina kaka mkichangia sio mbaya)

    Tuiangalie dhana ya 50/50 katika nyanja ya uchumi kwenye mahusiano. Hapo zamani mwanamke akupewa access yoyote kiuchumi kuanzia ajira, elimu, kumiliki mali, uongozi n.k katika hali kama iyo ni sharti ahudumiwe na mwanaume. Mwanamke hana ajira, hana makazi, hana mali sasa ataishi vipi lazima...
  2. Hivi ni kweli mawazo huleta uhalisia?

    Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wakahamia mkoa mwingine. So fast forward miaka imeenda ila mm nilikua kuna siku nashangaa namuwaza from no...
  3. Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  4. N

    Msaada wa mawazo kuhusu huyu mwanafunzi

    Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi alishasajiliwa kufanya mtihani wa form two lakini hakufanya kutokana na kushindwa kulipa ada . Mwaka huu baba...
  5. Naombeni msaada wa mawazo kuhusu ni nini cha kufanya

    Salaam, Katika harakati zangu za kusaka tonge, yupo jamaa ambae nilifahamiana Naye katika biashara, tukawa tumezoeana hadi ikafikia kipindi akiwa na shida na hela namuazima ila anaacha gari yake kama bond, akienda akasupply mizigo yake akilipwa ananirejeshea pesa zangu na yeye anachukua gari...
  6. R

    Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  7. Msaada wa mawazo wakuu

    Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara wangu ukiingia wachukue pesa yao
  8. Andika mawazo yako: Ujamaa ni nini? Na ubepari ni nini? Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo?

    Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina. Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari. Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa...
  9. R

    Madereva wa Mwendokasi wengi wana msongo wa mawazo. Waziri kaa na hawa watu uwasikilize itapunguza kuharibu magari

    JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
  10. Hayati Rais John Magufuli anaishi katika mawazo na fikra za Watanzania

    Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya...
  11. Msongo wa mawazo unaoletwa na misukumo ya fikra kwenye jamii zinazotuzunguka

    Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki. Sote tunaishi kwenye jamii...jamii ambayo imejaa watu wenye mitazamo, maoni na utashi tofauti tofauti. Katika ya jamii hiyo ambayo tupo kunazaliwa viwango vya kimaisha na vigezo mbali mbali kwa mitazamo yao na kufanywa kuwa ndio vipimo na matarajio...
  12. Msaada wa mawazo yenu nipo katika harakati za kupambania maisha yangu

    Hello wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 21 naish kijijin kwa sas Mimi bhan katika maisha yangu Kuna ndoto kubwa Sana nawza ambayo natamani sana kuitimiza Ila nashindwa kwa sababu kwa sasa nipo kijijin na huku kijijin wazazi Wangu wamenipa duka nirithi la nguo. Hili duka cha kwanz siipendi hii...
  13. D

    Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  14. RC Chalamila ni kama Profesa, ana mawazo kuwazidi Mawaziri!

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mwalimu Chalamila, kwa elimu yake ndogo ya Dar es Salaam na pia kukulia mazingira duni, maskini na kukosa exposure ameanza ku-cop na Dar es Salaam[mjini]. Mwalimu Chalamila ameelezea kushangazwa na mna ufukwe wa Coco Beach unaendeshwa. Amesema usiku mmoja akiwa na...
  15. Hatuna marafiki, bali tuna watu wakubadilishana nao mawazo tu

    Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo. Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu kuukubali huu ukweli; kwa sababu ni kundi lililopo kwenye ujana na mitindo ya kisasa; ambalo ni...
  16. B

    Hatari ya kuongezeka kwa mawazo ya kijamaa, hatamu za kiuchumi kushikiliwa na serikali

    UPUNGUFU WA SUKARI NCHINI TANZANIA, RAIS WA ARGENTINA ATOA SOMO KWA SERIKALI Rais Javier Milei wa Argentina atoa hotuba murua na kutoa tahadhari ya Hatari ya kuongezeka kwa mawazo ya kijamaa, hatamu za kiuchumi kushikiliwa na serikali...
  17. D

    Sehemu gani niende kwa ajili ya kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu?

    Natumaini wote nyie ni wazima, Well, naombeni mawazo yenu kwenye changamoto yangu hii ndogo, next week natarajia kuwa na kumbukizi yangu ya siku ya kuzaliwa Nilipanga niende Zanzibar ila hii weekend nimewaza nikaona hakuna sababu ya kurudi kule na nilienda tu December hapo. Sasa basi, naombeni...
  18. X

    UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni...
  19. G

    Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

    Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani. Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF Hali hii tunaipitia wangapi? MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
  20. Jumbe za dira ya maendeleo, je umechangia nini? Ni kweli mawazo yetu yatazingatiwa au wanapoteza muda wetu?

    Nimepokea sms takriban 8 kwa wiki hii kujulishwa kuhusu dira ya taifa ya maendeleo itayodumu mpaka 2050 kupitia kifaa changu cha mkononi ila nimeshindwa kuwajibu kwa sababu kuu mbili simu inaji-cancel before sijamaliza kujibu na sababu nyingine uchangiaji upo very limited siwezi kuchangia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…