wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
Biashara ya ufugaji wa kuku mayai ipo katika hali mbaya sana. Bei za mayai ya kisasa zimeshuka kiasi kwamba wafugaji wanashindwa kulipia vyakula vya kulisha kuku wao.
Taarifa ambazo hazijathibitishwa ila zinasemwa mitaani ni kuna mayai kutoka malawi na zambia yanaingia kinyume na utaratibu...
Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu.
Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa
Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha
Nikawa nawaza chakula jion nikaona bagia kivile ni nyepesi kupika basi nipike
Nikaandaa karoti na hoho
Kisha nikachukua unga wa...
Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu kwenye moja ya nyumba inayofuga kuku wa mayai kwenye mtaa huo.
Mama wa kijana huyo ameomba vyombo vya...
Huko Marekani kuna uhaba mkubwa wa mayai, kama huna buku mbili huli yai moja. Msemaji wa serikali ya Trump anasema ni kwa sababu ya utawala wa Biden kuua kuku milioni 100 na sera zake mbaya za mfumoko wa bei.
Hata hivyo sababu inaelezwa ni homa ya mafua ya ndege hali inayopelekea kuku wengi...
Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara.
Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana
Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa...
Habari wakuu wa JF! Hapa ni Mchina Bakari, ni muda mrefu hatujaonana.
Leo nitawafundisha namna ya kupika chakula kizuri cha Kichina, jina lake ni 番茄炒蛋, ambalo linamaanisha nyanya na mayai.
Kabla ya kupika, unatakiwa kuandaa vyema kwa mapishi yako. Malighafi yanapatikana sokoni, nyanya moja na...
Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo.
Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao.
Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16...
SCANIA 124 G hizi zilikuja chache sana.
MOja nilikuwa nayo mimi tank..
Nyingine alikuwa nayo MArehemu Steven Mchupa nayo Tank,
Tunasafiri kupeleka mafuta Geita......Lami Dar mpaka Dodoma kibao cha PEPSI..
Baada ya hapo unaanza kupiga shimo,,,ndani uko peke yako....ndio watu wachache tulioanza...
Mifugo plus Tunauza vichanja vya kufugia kuku wa mayai,kuku wa nyama pamoja na za kulelea vifaranga.
■BEI ZA CAGE'S/VIZIMBA
■KUKU 96 BEI 650,000/=TSH.
■KUKU 128 BEI 850,000/=TSH.
■VIFARANGA 400 BEI 550,000/=TSH.
■KUKU WA NYAMA 120 BEI 950,000/=TSH.
MAWASILIANO
#0656446991
#0774608608...
Wakuu habari.
Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla.
Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale.
Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji..
Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
Wakuu habari
Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla .
Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa
Kama upo dar , nafanya free delivery, nakuletea mpka ulipo.
Bei Huwa inabadilika badilika , ila Kwa bei ya Leo ni 8000 Kwa trei...
Nimeshangaa sana. Yaani mkuu wa upelelezi unapeleka kiapo Mahakamani ili mtuhumiwa asipate dhamana?
Primary objective ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao.
Sasa kama kuna watu wanahatarisha usalama wa Boniphace. Kwa nini hao watu wasikamatwe?
Hello wakulungwa
Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers
Nataka kufuga kuku 1000 layers
Kampuni Interchic.
Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n madawa (starter grower finisher nk)
Changamoto zake nk
Nb: nafuga wa nyama nina uzoefu na hao
Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na baadhi ya watu waliodai kuwa samaki anazaa watoto na kulikuwa na wengine waliodai kuwa samaki ana taga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.