Habari wana jamvi, natumai mko salama kabisa. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Vifaranga wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji wao, na moja ya njia zinazoweza kuhakikisha usalama wa maisha yao kwanza wao kwa wao (yaani vifaranga) na usalama wa mayai hapo...
Habari wakuu, mimi naishi mkoani (kanda ya ziwa). Wiki ijayo ninakwenda Dar kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Katika huo muda nitakaokuwepo, nitakuwa na muda wa free hivyo natamani kupata namna ya kuutumia. Mimi ni mtu ambaye nataka kuwekeza katika mradi wa kuku wa mayai/nyama, ningeomba...
Hongereni kwa sherehe za mwenge wa uhuru.
Tembea uone.
Huu mji upo wilaya ya Mufindi, kunakosifika kwa baridi kali sana. Baridi kweli ipo ni noma, yale maneno ya kuwa AC mnasema wawashe mufindi ni kweli bana.
Ila nimeshangaa sana watu wanakula mayai ya kuchemsha mida hii tena bar. Shikamoo...
Habari za uzima Wana jf🙏
Kwa heshima kubwa Sana nimekuja kwenu hapa.
Pamoja na kwamba hapa Kuna utani na mizaha ya hapa na pale
Naomba tuiweke kando
Tujadiri hili.
Mimi ni mfugaji mzoefu na Nina uzoefu kweli hasa kwenye kuku.
Kwa siku za Hivi karibu kuku wangu amenifanya niwaze sana maana...
Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
(Dead in shell cases)😔⁉️
▪️Hii ni changamoto kubwa ambayo, wafugaji wanaotumia viangulizi (Incubators) hukumbana nayo siku 21 baada ya kuweka mayai kwenye Incubators.
▪️Wafugaji na watumiaji wengi wa incubators hudhani kwamba, vifo vya vifaranga ndani ya mayai hutokana na maambukizi ya...
Kwa wale watumiaji wa mayai Kwa lengo la kupata protein wameshasikia mengi kuhusu tetesi za madhara ya mayai ya kisasa na hata Wataalamu wa Lishe wanakiri ya kuku wa kienyeji ni bora zaidi.
Lakini nyumba nyingi na maduka mengi utakuta tray za mayai ya kisasa ni mengi zaidi na biashara yake...
Jipatie mayai mazuri ya chotara, makubwa kwa shilingi 15,000 tu kwa trei. Yana kiini cha njano na ni mazuri sana. Napatikana Dodoma, karibu sana unayehitaji.
Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri.
Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
Habari wakuu,
Natafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji pure kwa dodoma jiji. Ninauza tray 17,000. Pure kienyeji.
Karibuni sana.
Ninapatikana Dodoma Mjini.
SIASA ZA SISIEMU NI KAMA MAISHA YA NYOKA, KUJICHUBUA NA KUTAGA MAYAI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Aliyesema SISIEMU itadumu daima hakusema kwa bahati mbaya. Alisema huku akijua kuwa Ukoloni upo na mpaka leo unadumu. Ili SISIEMU ife itahitaji Ukoloni nao ufe. Nazungumzia Ukoloni wa wale...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili inatarajiwa mwanzoni mwa mwaka 2024 kuanza kutoa huduma ya kibingwa kwa kuvuna mayai ya Wanawake na kuyahifadhi kwa ajili ya matumizi ya madae endapo wahusika watayataka.
Akizungumzia huduma hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali Hiyo, Prof. Mohamed Janabi amesema...
Habari napenda ulizia kwa anaejua au anaefanya biashara ya kuuza mayai , hasa haya mahususi ya kupikia chipsi wakuu.
Anijuze napenda kuanza biashara hii
Location ni Moshi Mjini...
"Walioliibua hili ( GENTAMYCINE nawataja kuwa ni wana Yanga SC ) wana Uelewa mdogo mno wa Mambo. Rangi zote zilizopo zinawakilisha Uafrika Wetu pamoja na Rasilimali zinazopatikana na ukiangalia Kiumakini katika Rangi hizi utaona nyingi ziko hata katika Bendera yetu ya Tanzania ambao tumepewa...
"Watanzania hata kama wanakosoa au wanapongeza Kikosi cha Taifa Stars bado wana Haki ya Kutajiwa Kikosi cha Wachezaji kila Kocha Mkuu akikiteua"
"Kama Serikali inayoigharamia Taifa Stars haifichi lolote kwa Watanzania ambao ndiyo walipakodi Wakubwa kwanini Kikosi cha Taifa Stars kifichwe Kwao?"...
Habari,
Nimekutana na picha zinazodaiwa kuwa ni kiwanda cha mayai Goba ambacho kinadaiwa kimekaa karibuni. Pia kuna video inasambaa ikionesha mtu akiuza mayai yenye viini viwili.
Video inayosambaa ikihusishwa na kuwapo kwa kiwanda Cha kutengeneza mayai
Kuna ukweli wowote kuhusu picha...
Hivi karibuni kumekuwa na Trends kuwa kuna kiwanda fulani hapa Dar es Salaam kinatengeneza mayai ambayo sio ya kutagwa na kuku na haya mayai bhana yanakuja yakiwa yamepakia viini viwili ndan yake.
Tunaomba msaada wa ufafanuzi kutoka kwa wataalamu wa chakula na dawa, juu ya haya mayai ya kisasa...
Habari zenu wadau,
Kwa wale wafugaji wa Bata, Kuna ukweli wowote kwamba ukigusa mayai ya bata Basi yanaoza, hayawezi kutotolewa? Au Ni Imani za watu tu? Wazoefu mtupe uzoefu.
Karibuni.
Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi.
Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala.
Sasa ngoma leo imejibu,asee najamba mashuzi yananuka harufu sio ya nchi hii.
Naomba ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.