Ally Mayay amekosa endorsment (kuungwa mkono) asubiri Mamlaka ziamue

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue.

"Nimekosa Endorsement, kwa sababu nilichukua fomu nilipaswa kuirejesha.Kwa sasa imekuwa ngumu.Zamani chama cha soka kilikuwa na uwezo wa kuwaendorse watu zaidi ya mmoja lakini kwa sasa ni mmoja tu, tusubiri mamlaka zitaamua nini."

1750426172724.jpeg
 
Kama umekosa udhamini ni dhahiri ungeisumbua tu Tume ya Uchaguzi kujaza wagombea, maana hata kura usingepigiwa. Kama hadharani hujapata wadhamini, basi kwenye kura ambayo ni ya siri usingefikiriwa kabisa
 
kazi ya Tume ni kuhesabu kura bila kujali idadi ya wagombea. Hakuna uchaguzi huru na wa haki ambao mtu mmoja tu ndio ana sifa ya kugombania nafasi ya uongozi.
Mashabiki wa Simba huwa mnajitoa sana akili.
 
Kama umekosa udhamini ni dhahiri ungeisumbua tu Tume ya Uchaguzi kujaza wagombea, maana hata kura usingepigiwa. Kama hadharani hujapata wadhamini, basi kwenye kura ambayo ni ya siri usingefikiriwa kabisa
Nilipoona wana Yanga wanamshabikia na kumtaka akamng'oe Karia, nikajua hapo ameshashindwa. Kuja kumuona na yeye kajichanganya, kwa kusindikizwa na lile TOPOLO ANDAMIZI Salamba, mpaka likawa linamfungulia milango, nikajua. 'KWISHA HABARI YAKE'!
 
Hakuna uchaguzi huru na wa haki ambao mtu mmoja tu ndio ana sifa ya kugombania nafasi ya uongozi.
Mashabiki wa Simba huwa mnajitoa sana akili.
FIFA wanatumia utaratibu huu, na katiba za wanachama wa FIFA zinalazimika kufuata hivyo. Hata uchaguzi wa Rais wa nchi yetu ni lazima upate wadhamini kadhaa kutoka pande zote za muungano. Mtikila aliwahi kukosa wadhamini kutoka Zanzibar 😃
 
Ukiona mtu analeta masharti kuzuia watu kuingia kwenye uchaguzi ujue ni ujinga

Kama anajiamini si aache watu waingie kwenye kinyang'anyiro washindanie kwenye sanduku la kura?
 
FIFA wanatumia utaratibu huu, na katiba za wanachama wa FIFA zinalazimika kufuata hivyo. Hata uchaguzi wa Rais wa nchi yetu ni lazima upate wadhamini kadhaa kutoka pande zote za muungano. Mtikila aliwahi kukosa wadhamini kutoka Zanzibar 😃
Huko Fifa pia Rais anaekuwa madarakani anakuwa endorsed na wapiga kura wote?
Je Ni yeye tu ndie anaebaki kuwa na sifa ya kugombania Urais?
 
Huko Fifa pia Rais anaekuwa madarakanih anakuwa endorsed na wapiga kura wote?
Je Ni yeye tu ndie anaebaki kuwa na sifa ya kugombania Urais?
Hizo kanuni zimewekwa lini? Kama si kipindi hiki cha uchaguzi, basi wa kulaumiwa ni Wagombea wenyewe. Kama waliona kanuni hizo ni mbaya walipaswa miaka angalau miwili kabla wapigenie zibadilishwe.
 
Waseme No Reforms, No election
 
Back
Top Bottom