Ally Mayay amekosa endorsment (kuungwa mkono) asubiri Mamlaka ziamue

Ally Mayay amekosa endorsment (kuungwa mkono) asubiri Mamlaka ziamue

Hizo kanuni zimewekwa lini? Kama si kipindi hiki cha uchaguzi, basi wa kulaumiwa ni Wagombea wenyewe. Kama waliona kanuni hizo ni mbaya walipaswa miaka angalau miwili kabla wapigenie zibadilishwe.
Rushwa
 
Hizo kanuni zimewekwa lini? Kama si kipindi hiki cha uchaguzi, basi wa kulaumiwa ni Wagombea wenyewe. Kama waliona kanuni hizo ni mbaya walipaswa miaka angalau miwili kabla wapigenie zibadilishwe.
Yeah, umesema vizuri. Watu wanaosubiri kipindi cha uchaguzi kifike ndio wazisome na kuzijua kanuni hawafai kuwa viongozi, maana watakuwa wanaongozwa na matukio badala ya vision
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikuwa nawaambia vigezo vya TFF ya karia ni vigumu mnoo...sasa yako wapi.

Vile vigezo vipo calculated.
Ukivisoma juu juu unaviona ni rahisi.
Karia ni mafia...
Na kamati zake ziko vivyo hivyo
 
Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue.

"Nimekosa Endorsement, kwa sababu nilichukua fomu nilipaswa kuirejesha.Kwa sasa imekuwa ngumu.Zamani chama cha soka kilikuwa na uwezo wa kuwaendorse watu zaidi ya mmoja lakini kwa sasa ni mmoja tu, tusubiri mamlaka zitaamua nini."

Hivi ndivyo Tanzania ilivyo, na huo ugonjwa tunaita Tanzamania, ndio maana Chadema wakasema "no reforms, no election"

Vv
 
Ally Mayayi tangu zamani unajua ya kwamba watu wa TFF (zamani FAT) HAWAKUTAKI na HAWAKUPENDI kwenye mpira wao. Na huu ni ushuhuda wa wewe kukosa endorsement. Kwanini unawang'ang'ania wenye mpira wao!?
Tatizo la Mayay, ni unazi wa wazi wazi. Hili litamuangusha kila wakati.
 
Kama umekosa udhamini ni dhahiri ungeisumbua tu Tume ya Uchaguzi kujaza wagombea, maana hata kura usingepigiwa. Kama hadharani hujapata wadhamini, basi kwenye kura ambayo ni ya siri usingefikiriwa kabisa
Kusadikika
 
Kila mahali ujinga kwa kivuli cha kanuni. Ccm ndio mwasisi na mlezi wa huu ujinga
 
Kila mahali ujinga kwa kivuli cha kanuni.
Tatizo zikitumika busara, mnalalamika pia, mnataka zitumike kanuni. Haya sasa, kanuni za FIFA zinataka mashirikisho wanachama wake yapate viongozi waliodhaminiwa katika process ya uchaguzi
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hapana mkuu kama ni hivyo Blatter na Platin wasingetoka au Etoo asingekuwa hapo alipo.
Ni Africa tu ndo utakuta ujinga wa kiwango Cha lami kama huu
Blatter na Platin walitoka kwasababu za figisu miongoni mwao "watu wa mpira". Fuatilia hilo utaniambia.
 
Ali Mayay aligombea uchaguzi uliopita akakutana uso kwa macho na hizo kanuni za hovyo yeye pamoja na wagombea wengine. Sasa maajabu ya Musa wamekaa kimya umefika wakati wa uchaguzi wamekurupuka tena wamekutana na vigingi vile vile. Niliwaambia hapa JF kuwa siku hazigandi waanze presha na vurugu (zisizoumiza) wakati ule ule ili kufika uchaguzi mwingine hizo kanuni za hovyo ziwe zimeondolewa lakini hawakunisikia. Na alipopewa nafasi BMT ndio akawa kama kanyamzishwa mazima mpaka anapoibuka tena sasa hivi wakati uchaguzi unakaribia.

Nimkumbushe tu Ali Mayay na wagombea wenzake kuwa sio kila wakati utaratibu unaleta mabadiliko bali wakati mwingine vurugu nzuri zile zisizoumiza zinaleta mabadiliko kwa mtu kutaka au kutokutaka. Kwa hiyo huyo Karia bila vurugu zisizoumiza nawaambieni hatatokaa hapo TFF.
 
Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue.

"Nimekosa Endorsement, kwa sababu nilichukua fomu nilipaswa kuirejesha.Kwa sasa imekuwa ngumu.Zamani chama cha soka kilikuwa na uwezo wa kuwaendorse watu zaidi ya mmoja lakini kwa sasa ni mmoja tu, tusubiri mamlaka zitaamua nini."

Kwa uzoefu wake katika soka la Tanzania, Ali Mayay kukosa wadhamini watano tu ni uzembe.
Uchaguzi ni process, siyo unaibuka baada ya kutagaziwa tarehe ya kuchukua fomu.
 
Utahira wenu ndio umetufikisha hapa!!, unawezaje kuanza kutafuta wadhamini wakati uchaguzi haujatangazwa?, unawezaje kuwa mgombe mmoja uliyepata udhamini pekee yako?. Utaratib wa kijinga mnaushadadia wapuuzi nyie..
Hiyo ipo tangu lini?
Kabla ya uchaguzi mnakaa kimya ikifika wakati wa uchaguzi mnaanza kulia lia.
Mchakato wa kutafuta wadhamini unaanza mapema. Wadhamini ni wajumbe, unawapanga mapema kabisa miaka hata mitatu kabla ya uchaguzi
 
Huo utaratibu upo kwenye kanuni gani kwamba mtu mmoja ndio awe na mamlaka kupata udhamini wa wadau wote 47?, kama ndio utaratibu na hao wanaosimamia uchaguzi wa tff kwanini wasitangaze kuwa uchaguzi wa Rais hautakuwepo kwasababu ya udhamini wa wagombea tiali umeisha!!.
Ni uchaguzi upi ambao unaweza kuta udhamini umekamilika hata kabala ya muda wa uchaguzi?, yaani unawezaje kujaziwa fomu ya wadhini wakati huo fomu za udhamini wa uchaguzi hazijatolewa na kamati ya uchaguzi?.
Tunapowwaambia nyie ni mbumbu mnakuja na mihemko ya ushindoni, anaogopa nini kuwaachia watu wapate wadhamini wakashindane kwa sandu la kura ikiwa anaamini aliyofanya yanambeba?.
 
Wadhamini unaongea nao kabla ya uchaguzi muda wa kujaza fomu ukifika unakuwa na watu wako tayari. Hata wapiga kura wanatafutwa kabla ya uchaguzi. Sasa kama wewe unashindwa kupata watu watano tu kukudhamini hao wapiga kura utawapata kweli?
 
Unaongea kitu unachojua au?, utaratibu wakupata wadhamini kikanuni ni wadhamini 5!. Kuna sababu gani za msingi amabazo zinamfanya mtu awe na wadhamini wote 47? Afu tume iitishe uchaguzi ilihali wadhamini wote wameamua kdhamin mgombea mmoja?.
Unajua kuwa hao wadhamini ndio wapiga kura wenyewe?, sasa kama wadhamini ndio wapiga kura uchaguzi au fomu zinatolewa za nini wakati tiali mshindi ameshajulikana?.

Utaratibu wa udhamini ni wa hovyo, kipindi cha nyuma wadhamini waliruhusiwa kudhamini mtu zaidi ya mmoja coz ilikuwa kutoa mwanya wa wagombea wengi kupata nafasi na pia uufanya uchaguzi kuwa ni siri, saizi wadhamini wamebanwa aliyemdhamini karia ni lazima ampe kura...
 
Back
Top Bottom