mayai

  1. francodalexy

    INAUZWA W1209 temperature controler

    Temperature controler thermostat kifaa kwa ajili ya utotoleshaji wa mayai. UFANYAJI KAZI: kinacontrol temperature (halijoto) wakati wa utotoleshaji wa mayai ya Kuku Bata Kanga N.K ona kinavyofanya kazi zaidi youtube kwa kutafuta (W1209) Contact:0789113089 Mwanza Price: 25000
  2. Rashidi Jololo

    Mfugaji huyu wa Kuku wa Mayai 120,000 anapatikana mkoa gani ili tukajifunze kwake?

    Ndugu zanguni wazima? Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda). Tafadhali mwenye...
  3. R

    Je, Mayai ya kuchemsha yananenepesha?

    Habari wadau Ndugu yenu nipo kwenye diet ili nipunguze unene sasa kwa mujibu wa watu ili nikonde wameniambia inabid nisle vyakula vya mafuta, chumvi, sukari, protini na wanga yani vitu km karanga, soda, biskuti, chocolate nk siwez kuiviorodhesha vyote apo ili mradi kisiwe na ingridient ya vitu...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Ally Mayay ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

    Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
  5. M

    Kuku mweusi ni kuku ghali zaidi duniani

    According to Greenfire Farms, the Ayam Cemani is the "most unique chicken on the planet." It's found in Indonesia and its pitch black color is what's made it famous. Not only are their feathers and skin a dark hue, but their bones, muscles and organs are even black. Many kinds of chicken have...
  6. B

    Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  7. M

    SI KWELI Mayai ya Kuku kutoka nje ya Tanzania, yalisababisha kushuka kwa bei ya Mayai

    Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
  8. chawa wa mama

    Natafuta mayai ya kwale

    Ndugu zangu natafuta mayai ya kwale ambayo yanafaa kutotolesha. karibu mwenye taarifa yoyote
  9. Rodrigoleonard

    Naomba ushauri kuhusu biashara mayai

    Nataka kufanya biashara ya mayai ila nataka kununu DARESALAM kuyaleta Zanzibar. Itakuwa nauza jumla na reja reja Na ombeni ushauri wema? Je, niaze na mtaji wa kias gani? Na je vitu itapata faida kweli?
  10. Mr Sir1

    Kuna haja mamlaka husika kudhibiti wasafirisha mayai kwa baiskeli

    Kwa wanotumia Pugu/Nyerere Road kutokea Gongo la mboto kupitia Airport watakuwa mashuhuda wa utitiri wa wasafirisha mayai maarafu kama Wakurya wanao ongozana wakiwa na shehena za mayai kwenye baiskeli. Tatizo linakuja kwa namna ya wanavyoongozana katika barabara kubwa na kuchomekea wenye...
  11. Lycaon pictus

    Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

    Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba...
  12. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  13. Ngatunga1

    Natafuta Mayai ya kisasa

    Nahitaji mfugaji anayeweza kuzalisha mayai zaidi ya trei 100 kwa wiki. Nanunua trei 100 kila wiki. Bei isizidi 6000/= kwa trei moja. Mawasiliano:call/whatsapp 0674574112. Email: ngatungaa37@gmail.com
  14. sky soldier

    Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

    Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana. Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
  15. Indoraptor

    Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
  16. M

    Hawa wachambuzi wa soka uchwara wa bongo: Waliishia kucheza mchangani, wanaongozwa na unazi badala ya weledi. Ni Ali Mayai Tembele tu anayestahili.

    Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
  17. Kaka mwisho

    Naomba uzoefu wa biashara ya utotoleshaji wa vifaranga

    Wafugaji wenzangu leo naomba tupeane uzoefu kuhusu biashara ya utotoleshaji vifaranga vya kuku, utaratibu upoje na bei zake zipoje. 1. Analipia kila yai analoleta au kwa kila kifaranga kitotolewacho. 2. Bei huwa sh ngapi na bei hutolewa kwa kila yai au trei nzima.
  18. dongbei

    Natafuta mayai ya quail (kwale) - Arusha

    Habari wana jukwaa! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji mayai ya ndege aina ya Kwale tray moja. Kama upo Arusha au maeneo ya jirani na unauza basi tuwasiliane PM please. Ukija PM njoo na bei kabisa ya tray. Natanguliza shukrani.🙏
  19. K

    Bora uuze mayai au uuze utu wako kwa waajiri?

    Vijana mnalochaguo moja tu Tanzania. Aidha, ujiajiri ubaki kusimamia unachoamini kwa utashi wako Ni sahihi au uajiriwe uelekzwe nini uamini na kutenda. Awali tumejionea vijana wasio na miradi yakueleweka walivyonyanyaswa. Na kundi hili kwa kuona aibu kila likisikia njaa likiwa upande mmoja...
  20. Organic mts garden

    Mayai ya kisasa yanapatikana Oysterbay, Dar es Salaam

    Kiini cha njano,kuku wanapewa majani kila siku, hatutumii carophyl yellow kuongeza unjano Bei ya elfu 6800(kuanzia trei 10) Oysterbay karibu na ccbrt 0738832076 Bei inapanda na kushuka,kwa hiyo inapobadilika nabadilisha pia katika tangazo humu...hakuna sehemu ya ku edit title ya tangazo.
Back
Top Bottom