mayai

  1. Ronee

    Huduma ya kutotolesha mayai ya kuku kwa kutumia Incubator. (Dodoma)

    Wakuu nimekula mayai ya kienyeji nimetosheka, sasa nahitaji niyabadili kuwa vifaranga ili nifuge kuku. Naomba anaetoa huduma tajwa hapo juu kwa Dodoma anijulishe nimletee mayai anitotoleshee. Ahsante.
  2. Wang Shu

    Vitumbua vya mayai

    Umechoka kunywa chai na vitafunwa vya aina moja kila siku leo pika vitumbua venye radha tofauti ufaidi chai yako ya asubuhi: Mda dakika 50 Vipimo Unga - 2 gilasi(wa mchele) Mayai - 4 Hamira - 2 vijiko vya chai Maziwa ya maji - 2 gilasi Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Weka mayai katika...
  3. Fahad mayai

    Nahitaji mayai ya kisasa

    Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze, Kibaha. Bei 6500 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray 200, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es salaam ilala amana
  4. Patience123

    Nahitaji mayai - Moshi

    Wakuu, kama thread inavyojieleza natafuta mayai ya kienyeji au ya chotara kwa ajili ya kula, nitakuwa nanunua kwa tray moja moja. Iwe bei ya jumla Mwenye nayo anipe ujumbe inbox 0621832691 napatikana Moshi mjini na Kibosho. Asanteni.
  5. Fahad mayai

    Natafuta mayai ya kisasa

    Natafuta mayai ya kisasa kwa wakazi wa Dar au maeneo ya karibu na Dar, yawe hayajakaa muda mrefu na size iwe nzuri. Shamba nafata mwenyewe bei ya mfugaji sitaki wauzaji wa jumla, mfugaji awe na tray kuanzia 300 kwenda juu. Mawasiliano ; 0625602775
  6. Fahad mayai

    Nahitaji mayai ya kisasa kuanzia Trei 100- 300 nipo Dar es Salaam

    Kwa wafugaji tu. Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaji ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa. Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana Dar es salaam iIlala mtaa wa Tunduru opposite na club ya wazee mawasiliano 0625602775. Angalizo...
  7. K

    Pata mayai ya kienyeji pure 12,000/=(tray)-Arusha

    Ni Mayai ya kienyeji kabisa na yenye ubora wa hali ya juu ,njoo ujipatie au weka order yako bei ni Tsh. 12,000/=(Trei ya Mayai 30) Ukihitaji utaletewa mpaka mlangoni. TUNAPO SEMA NI MAYAI YA KIENYEJI TUNA MAANISHA HASWAA. Call 0693100453 WhatsApp 0765894955
  8. Rion Jr

    Natotolesha mayai ya kuku, tunauza vifaranga

    Habari za jioni wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Natotolesha mayai ya kuku 10000 kwa trei, tunauza vifaranga vya kuroiler na pure kienyeji, pia nakukua wanyama 200 wako tayari kwa biashara, nauza bata (Muscovy) Napatikana Chanika kwa Singa, namba zangu ni 0746696878. Karibu sana
  9. Fahad mayai

    Natafuta mfugaji wa kunisambazia Mayai ya kisasa

    Habari zenu, naitwa Fahad napatikana Ilala Dar es salaam nilikuwa nahitaji mfugaji anaeweza kunsupply mayai ya kisasa tray 300 kila baada ya siku 3, bei isizidi 6200 na usafirishaji wa mayai ni juu yangu mimi. Malipo ni cash kwa mawasiliano zaidi 0625602775
  10. FRANCIS DA DON

    Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

    Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.2 ya ya watu wenye umri chini ya 50yrs hufa wanapougua Corona, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa...
  11. K

    Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
  12. Daisy Llilies

    Mayai yalivyonitesa katika mimba yangu ya kwanza

    Nilishika ujauzito tukiwa Honeymoon Mombasa. Nilistuka baada ya kurudi na kuanza kazi hali ya kutapika ilipoanza . Vyakula vingi vilinikataa, niliishi kwa banana milk shake. First trimester nililazwa siku tatu hospitali hakuna kilichokaa tumboni. Nikisikia harufu ya mayai hata kama jirani...
  13. Damian J Ntundagi

    Naomba msaada kuhusu mayai ya kienyeji

    Habari zenu ndugu wafugaji naombeni mnisaidie jinsi ya kutambua mayai ya kuku wa kienyeji pure yanayofaa kutotoreshwa kwenye incubator maana nikiweka mayai 100 yameanguliwa 42 tu.
  14. K

    Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla nilianza kuona mayai yakipungua wakati kuku wanataga kila siku. Niliamini pasipo na shaka itakuwa nyoka...
  15. K

    CCM inaangushwa huko mbele kwa kuwa mayai mayai

    CCM itakutana na tatizo moja kubwa miaka ijayo ukifika muda ambao huwezi kushinda kwa kuiba kura. Tatizo kubwa watakalo lipata ni kwamba viongozi wengi hawana uvumilivu hata kidogo. Hakuna kiongozi anayejua jela likoje, hakuna kiongozi ambaye anaogopa maisha yake kuwindwa na kutaka kuuliwa au...
  16. M

    Tunauza mayai ya bata mzinga

    Tunauza mayai ya bata mzinga. Bei zetu: Bei ya yai moja Tsh 4,000/=. Trey moja 120,000/= Namba za mawasiliano: 0762 355 114. Number za WhatsApp: 0762 355 114 Mahali tulipo: Mkoa wa Tanga, Wilaya Tanga Mjini mtaa wa Pongwe Kusini Karibuni sana
Back
Top Bottom