mayai

  1. B

    Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe?

    Naomba kuuliza Kama Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe, natokea lushoto tanga, habar
  2. Extrovert

    Mnanunuaje mayai huko Dodoma? Bei ya mayai ya kisasa

    Wakuu kwema, Niko interested kujua bei ya mayai ya kisasa hapo Dodoma ikoje? Huwa inapanda na kushuka? Je, ceiling price na floor price za hayo mayai zikoje?
  3. AA TANCH TRADING COMPANY

    Incubator ni nini? Inatumikaje ? na ni kwa kiasi gani itaniongezea uzalishaji wa kuku wa mayai?

    Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator? Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai? Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator? Nini kitatokea nisipogeuza mayai ndai ya incubator mara kwa mara? Je kuna incubator ambazo zinageuza mayai zenyewe? Nitajuaje...
  4. A

    Kuna athari gani kutumia mayai/ nyama ya kuku wa kisasa?

    KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k. Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
  5. Red Giant

    Hivi jogoo wangu akimpanda tetea wa jirani, nakuwa na haki kwenye mayai?

    Eti wakuu. Maana naona ng'ombe wanapandishia hela. Walau hawa wanalipwa. Sasa hiki la jogoo likoje?
  6. BASIASI

    Eti Ali Mayai kakosa wadhamini TFF, inawaaingia akilini aisee

    Nimemsikiliza ndugu yangu Ali mayai nimestuka kusikia Ali aliondolewa kwa kukosa udhamini. Hizi chaguzi zina vituko kweli yule mdada amefanikiwa wadhamini na Ali akose udhamini inawaingia akilini? Tunapita tu
  7. Roving Journalist

    Taarifa ya Upatikanaji wa Mayai Nchi Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI 15 JUNI 2021 1. UTANGULIZI Tarehe 15/06/2021 Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliona ujumbe unazunguka kwa njia ya...
  8. Roving Journalist

    Kanusho la kuwepo kwa Mayai ya Kuku kutoka nje ya Nchi yaliyosababisha kushuka kwa bei ya Mayai Nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dodoma, Juni 17, 2021 A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI Ndugu waandishi wa Habari, Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
  9. Y

    Msaada wa kujua sehemu wanapouza kuku wa kisasa wa mayai Jijini Dodoma

    Wadau habarini, Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali nahitaji hio bidhaa.
  10. Aijohn

    Naomba Msaada na ufafanuzi kuhusu uvimbe kwenye mayai na tiba yake

    Wataalam habari za Muda huu? Naomba msaada wa elimu katika hili. Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe haieleweki unakuta mwezi huu kaingia tarehe hii mwezi ujao tarehe nyingine tena au inatokea inapita Ata...
  11. Analogia Malenga

    Mbegu, mayai ya uzazi biashara inayokua kwa kasi Kenya

    Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza...
  12. Miss Zomboko

    Aina za vyakula vitakavyoboresha uwezo wako wa kuona

    Samaki ni chakula bora kwa afya ya macho hasa wale wa maji baridi, kwani wamejaa asidi ya mafuta ya omega-3 ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia macho angavu (kunyauka kwa macho), kudhoofu kwa misuli ya macho na hata mtoto wa jicho. Kama umeshindwa kula vyakula hivi vya baharini unaweza kula...
  13. A

    Msaada please. Nitapata wapi mayai ya bata ya kutotolesha?

    Waheshimiwa sana salaam. Mimi ni mkaazi wa Dar es Salaam na hivi karibuni nimepata interest ya kufuga bata na kwa kweli nimeamua kuanza ufugaji wa bata wa kienyeji (bata maji) ila ninapenda kununua mayai bora yanayoweza kutotolewa kwa mashine na niyatotoleshe mwenyewe kisha nikuze vifaranga...
  14. laurentie

    Tunanunua Mayai ya Kuku wa kisasa (Arusha)

    GREAT DISTRIBUTION AND MARKETING SERVICES iliyopo Arusha inanunua mayai kwa bei ya 5500 kuanzia trei 100. Tupo Arusha Mjini Kama una mayai wasiliana kwa namba zifuatazo 0622887399 au 0622115570 Karibuni
  15. KIMOMWEMOTORS

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  16. farmersdesk

    Je, unajua tatizo la kuku kula mayai, kudondoana na kunyonyoka manyoya?

    TATIZO la kuku kuwa na TABIA zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa WAFUGAJI wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza sana hasa kwa KUKU wa MAYAI. Tatizo hili pia limekua likijitokeza kwa kuku wa rika tofauti tofauti..ilaa linazidi pale kuku wanapo anza kutaga mayai CHANZO...
  17. N

    Nahitaji mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

    Habari, Nahitaji mtu ambaye anauza mayai kwa Bei ya jumla. Nipo Dar es salaam. Nahitaji kufungua duka la mayai
  18. Fahad mayai

    Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliyepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha

    Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze au Kibaha. Bei 7000 hadi 7300 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray kuanzia 200 na kuendelea, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es Salaam Ilala, Amana. Nafika hadi shamba kufata mzigo.
  19. Ginner

    INAUZWA Incubator Mashine ya mayai 5280 inauzwa

    Uwezo: 5280 kwa wakati mmoja. Muda wa matumizi: mwaka mmoja. Condition: mint Bei: 3.7m Location: Dar es Salaam. Sababu za kuuza: Mimiliki amehamishwa kikazi Mawasiliano: 0755815174
  20. Bilionea Asigwa

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa. Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa takwimu...
Back
Top Bottom