mayai

  1. S

    Msaada wa kufanikisha biashara ya Mayai

    Habari zenu wakuu, Nipo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma nahitaji kufanya biashara ya kuuza mayai jumla na rejareja Kuhusu masoko yapo ila changamoto ni wapi nitapata mzigo kwa bei ya chini kidogo walau nipate chochote kitu. Msaada mkuu nikunisaidia unijuze bei ya hapo hususa ni mikoa jirani...
  2. Strong and Fearless

    Wanaume punguzeni chips mayai

    Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi (sio wote) wanakula sana chips mayai. Hii inapelekea wanakuwa wavivu, uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo, hawajitumi, tena kitandani ndio performance zero kabisa. Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chips mayai, jamani.
  3. Isolated

    Nimeokota mayai ya bundi

    Habarini wakuu, poleni na mihangaiko. Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa? Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute. Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa...
  4. Tommy 911

    Biashara ya kutembeza vitumbua au mayai Kariakoo, Mnazi mmoja na Posta

    Habarini Wana JF,, Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara. @everyone
  5. D

    Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  6. MKATA KIU

    Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

    Kwa uchunguzi wangu binafsi nimeona ndoa nyingi sana zinapata changamoto ya kupata mtoto. Hapa mjini wadada karibu wote wameharibika. Ndiyo maana wengi hata wakibahatika kuolewa kupata mtoto inakuwa tabu sana. Na wengi wao hawazai kabisa. Wanawake wengi wa mjini Mjini wanatumia vizuia mimba...
  7. V

    Maumivu ya kugongwa mayai hayaelezeki Kwa Wanaume

    Utotoni kuna matukio yaliyosababisha nitoe machozi ila nalolikumbuka zaidi ni lile Jamaa alinipiga teke la pumbu wakati tunacheza boli. Kwa kweli hadi leo yale maumivu siwezi sahau. Lililofanya nikumbuke na kuandika huu masala ni hii Leo wakati nasombelea mchanga somewhere nimekodi punda, huku...
  8. Spacefox

    Gumzo: Mayai ya kisasa yana manufaa kwa afya ya mtumiaji?

    Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu. Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa. Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu lishe tunayopata kutokana na matumizi ya hayo mayai. Sasa je kuna Nutrient zozote kweli au ni...
  9. GENTAMYCINE

    Wenzetu wenye Akili Yanga SC Chief Scout wao ni Ali Mayai wanafanya vyema, Sisi Matutusa tumeletewa Tutusa la Kiholanzi Kutusajilia

    Ali Mayai pamoja na kwamba Wewe ni Yanga SC ila nakukubali mno kwa kujua Kwako Mpira ambao pia Umeucheza kwa Mafanikio kwa ngazi ya Klabu na Timu ya Taifa. GENTAMYCINE natambua kuwa kwa 99.99% huu Usajili wa Wachezaji mahiri wa Yanga SC ( hasa hawa wa Kigeni ) umetokana na Jicho lako Kali la...
  10. jmo mbeya boy

    Nauza Incubator mashine ya mayai 2000

    Mashine ipo vizuri na inapiga kazi vizuri nipo Uyole Mbeya Inatumia gesi Bei ni Milioni 1.5 0767750426
  11. incinc

    Natafuta wanapouza mayai ya jumla Dar es Salaam

    Wanaforum naomba kujua kwa yeyote mwenye kujua sehemu wanapouza mayai ya jumla kwa Dar es Salaam. Trey ni sh ngapi na unatakiwa kuchukua trey ngap ili upate kwa bei ya jumla?
  12. FATHER JOKA

    Ushauri wa namna bora ya kujenga banda bora la kuku wa mayai 500

    Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
  13. Nyuki Mdogo

    Kumbe huko mjini mnakula Kuku na Mayai yake na hamsemi😅😅

    Nimetoka kusikiliza songi la Harmonize Nakohoa nimeshangaa sana! mnawezaje kula Mtu na mwanae na bado ukawa Happy?
  14. Hemedy Jr Junior

    Acha kulea watoto wenu wa kiume kama mayai, acha kuwa bize na harakati za kimaisha

    Sio wenye dini wala wasio na dini wote dhahama hii inakanyaga pote. Cha msingi hofu ya mungu ndo inabidi itawale kwenye ubongo wetu la sivo tunaenda kuwa na wanawake wengi wenye jinsia ya kiume nawambia. TAMAA vijana wengi tamaa zinawaponza kutaka UTAJIRI wa haraka au kutaka kazi yenye mshahara...
  15. Sildenafil Citrate

    SI KWELI Ulaji wa mayai wakati wa ujauzito husababisha kujifungua watoto wenye vichwa vikubwa au wasio na nywele

    Wanawake wajawazito hupewa tahadhari au hata hukatazwa kabisa kufanya baadhi ya mambo kwa lengo la kuwaepushia madhara yanayoweza kuhatarisha afya zao, pamoja na mtoto aliyeko tumboni. Miongoni mwa mambo yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye jamii zetu ni kuzuia wanawake wajawazito kutumia mayai...
  16. J

    Kama Elimu Bure watoto wanataga mayai namna hii hiyo Bima ya Afya kwa wote sijui itakuwaje!

    Ninavyofahamu Sera ya Elimu Bure, Bima ya Afya kwa wote na Cement mfuko tsh 5000 Ilikuwa ni Sera ya CHADEMA yule shujaa Magufuli aliipora tu. Sasa kama CCM itataka kufanikiwa kwenye hizi Sera ni vema wakawashirikisha wabeba maono ambao ni CHADEMA vinginevyo yajayo yakifurahisha. Mungu wa...
  17. Black Butterfly

    Inashauriwa kutochanganya Maziwa na Ndizi au Mayai na Kitimoto wakati wa kula

    Wataalamu wa Lishe wanashauri kutokula Mayai na Kitimoto kwa pamoja kutokana na kuwa na wingi wa Virutubisho vya Protini ambavyo husababisha Tumbo kutumia muda mrefu kumeng'enya Chakula. Inapendekezwa kula Mayai kwanza na Nyama ifuate angalau baada ya nusu saa. Matumizi ya Matunda yenye Asidi...
  18. I

    Nahitaji Mayai ya kienyeji Dar es Salaam

    Habari za muda huu, Nahitaji muuzaji wa jumla wa mayai ya kienyeji kwa wiki nitahitaji trey 15. Niko Dar es Salaam aliye serious anichek.0684-753836
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mfungaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Zambia azawadiwa trei tano za mayai

    Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi. Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
  20. M

    Dume la bata mzinga linakula mayai

    Wadau, msaada tafadhali, Nilinunua Bata mzinga siku za nyuma. Kama wiki mbili zilizopita Bata jike alianza kutaga na kufikisha mayai 6. Baada ya muda nikakuta yamepungua 2. Nikawa na wasiwasi kuwa dume anakula mayai. Nilichofanya nikatoa mayai yaliyokuwa yamebaki. Akitaga tu natoa yai...
Back
Top Bottom