Mkuu pole kwa maradhi yako ya kichocho Sugu kisichosikia dawa za kizungu. Ukiwa umeshushiwa dawa na umetumia haujapona hebu nitafute mimi , kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.Shusha dawa apo pharmacist au alieshauguaga io kichocho sugu
Kwani umeambiwa ule mayai ya kichocho mbona hivo lakiniKinini kina Mayani ya kichocho .?
Naye kichocho kwanini ameenda kutagia mayai yake humo?
Hayo mayai ya kichocho NI mkubwa Kama ya kuku?
KAma kuna kitu uwa sichagui Kula Basi NI mayai.mimi yai hata lowe la nyoka nakata.