Msaada dawa ya kichocho sugu usaha unatoka ameambiwa kibovu kina mayai ya kichocho

Msaada dawa ya kichocho sugu usaha unatoka ameambiwa kibovu kina mayai ya kichocho

Dawa ya kichocho sugu ni Praziquantel (dozi: 40 mg/kg mara moja). Kwa sababu kuna usaha, pia inahitaji antibiotics kama Ciprofloxacin. Muhimu aende hospitali apimwe vizuri kwa sababu kibofu kinaweza kuwa kimeathirika zaidi.
Ww ndo umeongea mkuu nimepewa iziizi nipo vzr saiv
 
saga kitunguu maji na uchanganye na asali,na utumir kwa wiki 2.

acha mambo ya hospital
 
Back
Top Bottom