mayai

  1. N

    Je ni Kweli mwanamke akitumia sindano za kuzuia mimba, zinaweza kukausha mayai ya uzazi?

    wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
  2. Serikali iingilie kati bei za mayai

    Biashara ya ufugaji wa kuku mayai ipo katika hali mbaya sana. Bei za mayai ya kisasa zimeshuka kiasi kwamba wafugaji wanashindwa kulipia vyakula vya kulisha kuku wao. Taarifa ambazo hazijathibitishwa ila zinasemwa mitaani ni kuna mayai kutoka malawi na zambia yanaingia kinyume na utaratibu...
  3. Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

    Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu. Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
  4. Bagia za dengu maziwa na mayai

    ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha Nikawa nawaza chakula jion nikaona bagia kivile ni nyepesi kupika basi nipike Nikaandaa karoti na hoho Kisha nikachukua unga wa...
  5. Dereva bodaboda auawa akidaiwa kuiba mayai matatu

    Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu kwenye moja ya nyumba inayofuga kuku wa mayai kwenye mtaa huo. Mama wa kijana huyo ameomba vyombo vya...
  6. Marekani yakumbwa na ukata wa mayai, bei yapaa kupitiliza.

    Huko Marekani kuna uhaba mkubwa wa mayai, kama huna buku mbili huli yai moja. Msemaji wa serikali ya Trump anasema ni kwa sababu ya utawala wa Biden kuua kuku milioni 100 na sera zake mbaya za mfumoko wa bei. Hata hivyo sababu inaelezwa ni homa ya mafua ya ndege hali inayopelekea kuku wengi...
  7. Je, kwa mtaji wa mil 1.5 naweza kufuga kuku wa mayai, wa nyama na chotara kwa wakati mmoja?

    Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
  8. Z

    Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

    Huu ni mwaka pili sasa tunahangaika na wife kuongeza mtoto wa tatu na wa mwisho, nimeobserve wife hapati ule ute wa mimba, ana 33 years, na mimi tukipiga show round ya kwanza namwaga sperms nyingi ila round 2 na 3 namwaga kidogo sana Mimi nina 37 yrs, sasa naomba madaktari mnisaidie kupata dawa...
  9. Nyanya na Mayai. Jipikie mwenyewe!

    Habari wakuu wa JF! Hapa ni Mchina Bakari, ni muda mrefu hatujaonana. Leo nitawafundisha namna ya kupika chakula kizuri cha Kichina, jina lake ni 番茄炒蛋, ambalo linamaanisha nyanya na mayai. Kabla ya kupika, unatakiwa kuandaa vyema kwa mapishi yako. Malighafi yanapatikana sokoni, nyanya moja na...
  10. X

    Tunaunda, kurekebisha au kuboresha mashine za kutotoresha vofaranga(incubator)

    Kwa mahitaji ya huduma ya utaalamu wa mashine za kutotoresha vifaranga za aina zote *Kuunda *Kuboresha *Kurekebisha *Ushauri Piga 0785165877
  11. F

    Kukaanga mayai

    Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
  12. Kuku wangu wa mayai wamegoma kutaga wanaelekea week ya 19

    Nina kuku wa mayai zaidi ya 1,000 wanakwenda wiki ya 19 lakini wamegoma kudondosha yai. Licha ya kununua chakula cha kiwandani kuanzia Wana siku ya kwanza mpaka leo. Lakini pia uzito wao walionao ni uzito stahiki kulingana na umri wao. Naanza kupata stress maana wanatetea tu tangu week ya 16...
  13. Mwaka 2004 ndani ya SCANIA mayai

    SCANIA 124 G hizi zilikuja chache sana. MOja nilikuwa nayo mimi tank.. Nyingine alikuwa nayo MArehemu Steven Mchupa nayo Tank, Tunasafiri kupeleka mafuta Geita......Lami Dar mpaka Dodoma kibao cha PEPSI.. Baada ya hapo unaanza kupiga shimo,,,ndani uko peke yako....ndio watu wachache tulioanza...
  14. M

    INAUZWA TUNAUZA CAGE'S ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI NYAMA NA VIFARANGA

    Mifugo plus Tunauza vichanja vya kufugia kuku wa mayai,kuku wa nyama pamoja na za kulelea vifaranga. ■BEI ZA CAGE'S/VIZIMBA ■KUKU 96 BEI 650,000/=TSH. ■KUKU 128 BEI 850,000/=TSH. ■VIFARANGA 400 BEI 550,000/=TSH. ■KUKU WA NYAMA 120 BEI 950,000/=TSH. MAWASILIANO #0656446991 #0774608608...
  15. Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

    Wakuu habari. Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla. Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale. Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji.. Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
  16. Nauza mayai ya kisasa

    Wakuu habari Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla . Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa Kama upo dar , nafanya free delivery, nakuletea mpka ulipo. Bei Huwa inabadilika badilika , ila Kwa bei ya Leo ni 8000 Kwa trei...
  17. Nani supplier mkubwa wa mayai ya kisasa dar

    Nahitaji kufanya biashara ya mayai, nani supplier au mzalishaji mkubwa. Niko dar
  18. Kama RCO Kinondoni anadai Usalama wa Boni Mayai alipaswa ampe ulinzi na taarifa za wanaohatarisha usalama wake kisha kuwakamata

    Nimeshangaa sana. Yaani mkuu wa upelelezi unapeleka kiapo Mahakamani ili mtuhumiwa asipate dhamana? Primary objective ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Sasa kama kuna watu wanahatarisha usalama wa Boniphace. Kwa nini hao watu wasikamatwe?
  19. Naomba kufahamishwa kuhusu uku wa mayai aina ya layers

    Hello wakulungwa Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers Nataka kufuga kuku 1000 layers Kampuni Interchic. Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n madawa (starter grower finisher nk) Changamoto zake nk Nb: nafuga wa nyama nina uzoefu na hao
  20. Je, samaki anatapika watoto, anazaa au anataga mayai?

    Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na baadhi ya watu waliodai kuwa samaki anazaa watoto na kulikuwa na wengine waliodai kuwa samaki ana taga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…