Kuna fulsa nimeiona Oman, ya kupeleka maharage soya na Matunda pashen, nafikilia kuanza kupeleka bidhaa tajwa hapo juu kila week, kwa kuanzia ntakua nasafirisha kilo 100 kila week.
Kama unafanya kazi kwenye Kampuni za Ndege hasa zinazoruka direct toka Dar es salaam to Muscat, au unafanya...