Nina hamu ya kuonja maziwa ya Ngamia; najua Tanzania hatuna ngamia wengi kama Kenya au Somalia na Ethiopia ila wapi hapa Dar naweza nunua maziwa ya Ngamia?
Msaada wana Jamii
Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu
Mahitaji
Ngano kilo moja
Sukari robo (utaigawa mara mbili)
Iriki iliyosagwa Kijiko kimoja
Maziwa ya maji nusu lita
Mafuta ya kupikia(pima kikombe Cha ml...
Tafiti zilizofanyika huko nchini Marekani zinasikitisha na kushtua sana, kwamba watu takribani milioni 23 sawa na asilimia 7 ya watu wazima wanaamini kwamba maziwa ya chocolate yanatoka kwa ngombe wa rangi ya kahawia. we unadhani ni kwanini? kwamba hawajui?
====
Seven percent of all American...
Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi.
Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi...
Muda huu nipo Mwanza Nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita maziwa fresh. Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana.
Asante
Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa).
Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea...
Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika.
Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
Habari za mchana
Naomba kujua maziwa mtindi yananenepesha au kukondesha nimeanza kunywa hivi karibuni nataka niwe natumia permanently kila siku. Nataka nijue kama yanakondesha au Lah maana sitaki nikonde naupenda mwili wangu.
Nchi ya Tanzania imebarikiwa vivutio vya asili ikiwemo mbuga, mito na kadhalika. sekta ya mifugo ni mojawapo ya sekta ambazo huwa zinachangia kwa kiwango kikubwa sana katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. kwa mujibu wa shirika la kimataifa la kilimo na chakula duniani(FAO) Tanzania ni ya tatu...
Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
Hello farmers,
Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani.
Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman kujifunza zaidi.
Yeyote pia anayefuga kibiashara naomba kujifunza shambani kwako.
Shukrani
Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level
All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy?
Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
Licha ya Serikali kuhamasisha uanzishwaji wa viwanda nchini lakini bado upatikanaji wa mali ghafi za kuendesha baadhi ya viwanda ni changamoto.
Kiwanda cha maziwa cha MMS kilichopo Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi kimefungwa na mmiliki wa kiwanda hicho.
Kiwanda hicho kilichozinduliwa...
Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza?
Wengi naona ni janda za juu na kaskazini.
Nipe location au contacts kwa anaejua please!
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji?
Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo.
Je, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.