Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni...
Baada yakufanya tathmini isiyo rasmi...nimegundua sehemu ...ambayo CCM wamewekeza mtaji wao mkubwa ni vijijini. Hapa CCM wanachofanya sio..Miujiza ni njia kama za Akina late Mugabe , Mseven na wazee wengineo ambao wako ..radhi wafie madarakani lakin ..sio kuwapa kijiti wapinzani.
Kwa upande wa...
Mwaka 2016 mfumo wa maisha ulibadilika baada ya Serikali mpya kuingia madarakani! Vijana wengi tulijikita katika kilimo na ufugaji baada ya motivational speaker kutuhakikishia tutapata utajiri bila kutoa jasho
Nami nikaanza na nguruwe wenye mimba 3. Mwanzoni hakukuwa na changamoto sana ila...
Utafiri umeonyesha kwamba maziwa ya mgando huimarisha kinga ya mwili na kukinga dhidi ya magonjwa ya mfumo wa hewa na haswa homa ya mafua.
Prof. Dr. Nizami Duran mkuu wa Idara ya Mikrobiolojia katika chuo kikuu cha sayansi ya tiba cha Hatay Mustafa Kemal pamoja na timu yake ya uchunguzi...
Nimejaribu kufuatilia video hii aiseh inatia uchungu sana. Ila nadhani lengo la huyu kwenye video hii lilikuwa ni kuonesha namna ambavyo ufugaji unakumbwa na vikwazo. Tunatakiwa kuangalia namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa wafugaji. Inaumiza lakini hasa ndio maisha hamna namna
Salamu!!
Jamani natafuta mahali au chuo au hata mtu binafsi anaweza kunifundisha namna ya kusindika maziwa.
Nimejaribu SIDO wanasema wao wanafundisha usindikaji wa vyakula na milolongo kibao na procedures za kufa mtu.
Kupitia jukwaa hili nisaidieni jamani anayefahamu mahali au mtu binafsi au...
Habari wana Jf na wakazi wa Dodoma.!
Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa, Tsh. 2000/= @ 1 litre
Monthly Bills na Discount Kwa Maziwa mengi inapatikana.
LOCATION: Dodoma Mjini
Info; PM
Natanguliza Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.