maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchiyanguu

    Ng’ombe wa maziwa anauzwa

    Ninauza ng’ombe wa maziwa ni mitamba wenye mimba kubwa wawili, wapo chanika, Dar es salaam. Bei: 2,700,000 ( wote wawili) Contact: wasap/call/sms; 0713908963
  2. MK254

    Wanawake wa Tanzania waomba msaada dhidi ya waume zao wanaonyonya matiti na kumaliza maziwa ya watoto

    Watanzania hamuishi vituko ===== Breastfeeding women in Handeni district in Tanga region have asked the district commissioner, Siriel Mchembe to help them raise their voices against husbands who suck their breasts as they cause shortage of milk for their children. The request was made during...
  3. Analogia Malenga

    DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao

    Handeni. Wanawake wanaonyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemuomba Mkuu wa wilaya hiyo, Siriel Mchembe kuwasaidia kupaza sauti na kukemea wanaume wao kuacha tabia ya kuwanyonya maziwa kwasababu wanawafanya watoto wasipate maziwa ya kutosha. Ombi hilo wamelitoa leo Jumanne Agosti 10...
  4. Pain killer

    Ukija Dar es Salaam hujaoa basi hutaoa kabisa kama usipoondoka

    Habari wakuu, Hii kitu sio utani kabisa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema, kwa kijana ambaye kakulia DSM katika ujana wake kuoa ni kipengele kizito sana, kuna kaka yangu toka nasoma shule ya msingi alikujaga DSM kusoma chuo, sasa alimaliza akapata kazi huko huko dsm, huwezi amini...
  5. M

    Pata faida kwa kufanya biashara ya Maziwa mtindi

    ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI. Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa kutumia fursa hii adhimu inayoweza kuongeza kipato zaidi katika maisha. Maziwa ni malighafi ambayo...
  6. Aziwero

    Nataka kuanza kuuza juisi na maziwa bar, ushauri wenu tafadhali

    Habari wanajukwaa. Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu vinavyohitajika kwa hiyo biashara na gharama zake kwa ujumla! Ahsanteni
  7. MkulimaAgriClinic

    Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
  8. Mumlii

    Mkusanyiko wa maziwa inaeza ikaleta maumivu?

    Habari wana jf, Tokea jana titi la kushoto kuna kama kakitu kagumu nikibonyeza panauma hatari, nlijua labda maziwa yamekua mengi nikanyonyesha mtoto sku nzima naona tu maumivu sana. Hadi sasa hivi je ni nini hichi maana dah maumivu nanyonyesha chuchu haiumi.
  9. my name is my name

    Hivi wanaume huwa mnapata nini kwenye matiti?

    Matiti yenyewe hata hayatoi maziwa lakini utakuta mtu anakazana kunyonya mpaka yanabadilika rangi yanakuwa mekundu mpaka unahisi maumivu hata watoto sidhani kama wananyonyaga mpaka wanawaumiza mama zao. Hivi mnapata nini kwenye matiti ambayo hata hayatoi maziwa?
  10. BARA BARA YA 5

    Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

    Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja wake nikaone ni FURSA muhimu. Iko hivi kwa mfano: Kama una eneo lako hata kama ni ekari moja tu ya...
  11. theChinga

    Mwenye soko zuri la Maziwa kwa Dar aje hapa

    Wasalamu. Nipo mkoa jilani na Dar huku kuna fursa ya upatikanaji wa maziwa kwa wingi. Nahitaji mtu mwaminifu ambaye naweza fanya naye kazi walau aweze kuchukua litre 200 kwa kuanzia per day.
  12. F

    Nini maana ya haya maneno? "Kuku kukosa maziwa"

    Je, nini maana ya "kilichomfanya kuku kukosa maziwa"?
  13. waziri2020

    Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali ili kuboresha afya za Watanzania

    Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali nchini. Wizara ya mifugo na Uvuvi kupitia Bodi ya Maziwa Tanzania, imeanza utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi sanjari na ofisi za serikali ukiwa na malengo kuboresha...
  14. FRANCIS DA DON

    Tunaambiwa tule nyama na maziwa tupate protein; Je, ng’ombe hutoa wapi hizo protein na hali nyama wala kunywa maziwa?

    Je, ina maana binadamu anaweza kuishi bila kula nyama, mayai, wala maziwa na akapata protein zote anazohitaji toka kwenye vyakula vya mimea (vegetable based)?
  15. B

    Mhe. Waziri wa Afya, umepata malalamiko juu ya maziwa mapya ya Lactogen?

    Yapo malalamiko ya ubora wa maziwa mapya ya Lactogen ambayo yanatoka nchi jirani au yanatengenezwa kwa ubia na viwanda vya jirani yetu. Je, ubora wa maziwa haya ya watoto umeangaliwa vyema? Nini kimebadilika kwenye maziwa hayo? Kwanini maziwa ya Lactogen manufacturer France yamepotea sokoni...
  16. J

    Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji

    Dkt. Kigwangalla ambaye ni waziri mstaafu wa Serikali ya awamu ya 5 amesema kwa sasa amejikita kwenye ufugaji kwa kuwa ujasiriamali unalipa kuliko kitu kingine chochote. Kigwangalla amesema kwa sasa anamiliki shamba kubwa la mifugo huko Mvomero mkoani Morogoro ambako anazalisha ng'ombe wa...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Faida zipatikanazo kutokana na kunywa maziwa

    MARA nyingi watu wengi wamezoea kula au kunywa kile kinachopatikana na si kile kinachotakikana (kinachohitajiwa). Tabia hii huchangiwa na mambo mengi kama ukosefu wa fedha, muda wa maandalizi, mila na desturi pamoja na sababu hizo, moja kubwa linalochangia ni ukosefu wa elimu sahihi ya...
  18. K

    Natafuta ng'ombe wa maziwa Singida

    Habari za majukumu wanajamvi, Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba. Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo, Natanguliza shukrani.
  19. Analogia Malenga

    Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

    BODI ya maziwa nchini imekamata tani tatu za maziwa ya unga ya 'Cowbell' yaliyokuwa yanakaribia kuishiwa muda wa matumizi yakiwa yameongezwa muda wa matumizi zaidi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam Kaimu Msajili wa Bodi ya Maziwa Nchini Noel Byamungu amesema walibaini kitendo hicho katika...
  20. Mlolongo

    Nilibandika maziwa kwenye jiko la gas, nikaenda nje kupiga story!

    Naam, story zilipoisha nikaja kuipua sufuria.
Back
Top Bottom