maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni. Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao...
  2. JanguKamaJangu

    Iringa: Mkuu wa Mkoa azungumzia Wanaume Wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha ili kukata pombe

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo. Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
  3. Sky Eclat

    Faida 21 za maziwa na karafuu

    FAIDA 21 YA MAZIWA NA KARAFUU Kikombe cha maziwa iliochanganywa na kijiko kimoja cha chai cha karafuu iliosagwa husaidia:- 1) Utasa au Ugumba 2)Udhaifu wa tendo la jimai 3)Udhaaifu wa moyo,tumbo,maini na figo 4)Udhaifu wa utenda kazi wa moyo na viungo 5)Maumivu ya viungo vya mwili(joint pain)...
  4. Lastmost

    Naomba ufafanuzi kuhusu maziwa ya mbuzi

    Salaam wakuu, Naomba kujua,maziwa ya mbuzi Yana sifa sawa na maziwa ya ngo'mbe? Nasikia mbuzi wanakuwaga na magonjwa mengi zaidi ya ngo'mbe,Lina ukweli wowote? Naomba kwa wenye uelewa mnisaidie,maziwa ya mbuzi Yana athari zozote kiafyaaa?
  5. Wazobora

    Nauza maziwa mgando lita moja Tsh1,500/= mkoa wa Kagera

    Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni mkoa wa Kagera. Kama upo mkoa tofauti na mkoa wa Kagera itakupasa kulipia gharama za usafirishaji...
  6. Analogia Malenga

    Utafiti: Maji yaliyoko chini ya ardhi ni mara 20 ya maji ya mito na maziwa

    Bara la Afrika lina maji ya chini ya ardhi ya kutosha na hivyo kupelekea kila mtu kupata maji ya kunywa ya kutosha ili kukabiliana na ukame kwa angalau miaka mitano, na hata katika baadhi ya maeneo, hadi miaka 50. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na shirika la utafiti wa Jiolojia la...
  7. MPINGA UKAWA

    Nafikiria kuanzisha biashara ya kuwauzia maziwa viwanda vinasindika maziwa kama vile Tanga fresh na vinginevyo

    Wakuu nawasalimu Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga fresh ,shambani milk na vinginevyo hata vidogodogo vyenye uwezo wa kuchukua kuanzia lita 50 Hadi 100...
  8. W

    Maziwa ya ngamia kwa Dar es Salaam yanapatikana wapi?

    Habari zenu, Nipo Dar-es-salaam nahitaji maziwa ya Ngamia je yanapatikana wapi? Msaada tafadhali... Ahsantee!
  9. Lycaon pictus

    Waliojenga kando ya bahari au maziwa, majitaka yao huenda wapi?

    Kwa hapa Tanzania, na huko Ulaya. Huwa yanaenda wapi?
  10. gimmy's

    Nguruwe wangu amezaa lakini maziwa hayatoki na watoto wanahangaika njaa. Nifanye nini?

    Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu, Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe. Natunguliza shukurani, Thnx.
  11. S

    Soda za Coca Cola zimeadimika mtaani pia maziwa fresh ya packet

    Hizo bidhaa hazipatikani ama kama zipo ni kwa uchache sana. Kunani? Sambamba na hilo, vitu vimepanda saaaana bei , wachumi mnasemaje?
  12. nyboma

    Ndoa za sasa zimejaa unafiki mkubwa sana, jana mke wa mtu kanitumia picha ya matiti yake hadi nimechoka mwenyewe

    Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli? Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya maziwa akanitumia emoji ya kucheka. Eeh! Sijakaa sawa nikatumiwa picha za maziwa na alivyo mweupe...
  13. Analogia Malenga

    TBS: Wanaoongeza maji kwenye maziwa waonywa, kufanya hivyo ni kinyume cha sheria

    KAIMU Mkuu wa Kitengo Cha Uthibiti Ubora wa Shirika la Viwango nchini (TBS) Baraka Mbajige amewaonya wafugaji na wauzaji wa maziwa kuacha tabia ya kuweka maji kwa sababu ni kinyume cha sheria. Alisema hayo katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na TBS kwa wafugaji wa Wilaya ya...
  14. Mkulungwa01

    Mke wangu kanikamulia maziwa

    Wanajamvi mu hali gani? Ni usiku wa jana tu haya yamenipata, mke wangu ana mtoto japo kashaacha kunyonya, muda mfupi uliopita, jana usiku akaniandaa safi tu, mimi siwezi kufanya mapenzi na mke wangu bila kunyonya matiti yake (samahani kwa lugha kali), basi nikaanza kunyonya, ghafla nashangaa...
  15. R

    Naomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya maziwa ya madanga

    1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa? 2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga? 3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua?
  16. Political Jurist

    CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  17. CM 1774858

    Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

    Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine...
  18. Analogia Malenga

    Unywaji wa maziwa uko chini nchini

    Imeelezwa kuwa unywaji wa maziwa nchini uko chini ya kiwango cha kimataifa, ambapo Mtanzania mmoja anakadiriwa kunywa lita 50 kwa mwaka ikilinganishwa na kiwango cha lita 200 zinazotakiwa kwa mujibu wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP). Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba...
  19. Candela

    Maziwa ni sumu mwilini

    Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. Hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa maziwa. Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha madhara u anayoyapata kwa kutumia maziwa mara kwa mara...
  20. BM X6

    Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)

    Hapa majuzi nilirudi Tanzania (huwa nakaa Nairobi Utawala) nilienda Arusha pamoja Singida, sasa nilivyofika sehemu hizo nikawa natafuta maziwa fresh madukani, nilizunguka sana hadi kuyapata na niliyapata kwa bei kubwa sana nikilinganisha price ya Nairobi So nikaja kugundua Nairobi wana maziwa...
Back
Top Bottom