Nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa pindi hutumiapo dawa zozote basi itakupaswa usitumie maziwa aina yoyote kwasababu matumizi ya maziwa hupunguza au kuondoa kabisa ufanisi wa dawa hizo hivyo kupelekea kutotibu ugonjwa uliokusudiwa.
Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo...
Wanahitajika business partners wawili hadi watatu.
Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi.
Biashara itakuwa jumla na reja reja.
Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam.
Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar.
Partners watasimamia usambazwaji wa mzigo Dar es salaam...
Majuzi nimelisikia Bunge letu tukufu wakijadili hoja ya URAIA PACHA na HADHI MAALUM kwa kina sana lakini yaonyesha wazi viongozi wetu hawajui maana wala tofauti ya mifumo hii miwili japokuwa ni wasomi wazuri.
Kwa sababu hizi inanilazimu kuufahamisha Umma, viongozi na Wabunge wanaojadili hoja ya...
NAIBU WAZIRI SILINDE - MAZIWA YASIYO SALAMA NI HATARI KWA MLAJI
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde ameonya kuwa matumizi ya maziwa yasiyo salama huhatarisha maisha ya mlaji kutokana na kutumika kama njia ya kusafirisha magonjwa ya mifugo kwenda binadamu.
Mhe. Silinde amesema...
MJ maziwa jumla tuna uzoefu wa miaka mingi wa kuzalisha maziwa na kutengeneza mtindi bora kabisa, kwa walioona na kunywa maziwa yetu watakubaliana na mimi
Tunazalisha na kutengeneza mtindi zaidi ya lita elfu 1000 kwa siku hivo kwa wakazi wa Dar es Salaam ni wakati wa kunywa maziwa...
Habari zenu ndugu zangu wajf leo nimeamua kuanzisha hii thread inayohusu ufugaji wa ng'ombe wa kisasa /maziwa kwa minajiri ya kujaribu kusolve changamoto mbalimbali zinazowakumba wafugaji wa sector hii kupitia uzoefu wangu mashambani na shuleni (SUA) hivo karibuni tusharee mawazo tupate...
Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
MBUNGE MHE. EZRA CHIWELESA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MOJA YA KAMATI BUNGE LA MAZIWA MAKUU.
Tarehe 27 Machi, 2023 umefanyika uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa Kamati za Kudumu za Bunge la Nchi za Maziwa Makuu Jijini Juba Sudani Kusini.
Katika uchaguzi huo Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi...
Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.
Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less.
Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe.
Wameshapigwa ki ufasaha...
Serikali kupitia Shirika la Wakala wa Meli nchini (TASAC), imeeleza kuwa inatarajia kujenga vituo vya uokoaji katika Maziwa Makuu nchini ili kusaidia katika tahadhari na uokoaji pindi yanapotokea majanga kwenye vyombo vya usafiri wa majini.
Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC, Kapteni Musa Hamza Mandia...
Biashara ya kwanza ya baa ya maziwa ilianzishwa na Muingereza huko India mwaka 1930, James Meadow Charles alipofungua baa yake huko Bangalore iliyoitwa Lake View Bar. Wazo hilo likaanza kusambaa kwa kasi katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo Uingereza. Katika muda mfupi tu zaidi ya baa 1000...
Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba?
Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
Huu uongo umekuwepo miaka mingi sana. Ukweli ni kuwa maziwa hayana nguvu yoyote ya kutibu sumu. Mtu anayekunywa maji na anayekunywa maziwa baada ya kunywa sumu wote wapo sawa.
Unakuta mtu anafanya kazi kiwandani, mgodini au sehemu yenye vumbi, jioni anapiga maziwa kwamba anazuia sumu. Na wenye...
Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi.
Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za hospitalini, huku baadhi wakitumia dawa za asili.
Pia, maziwa ni miongoni mwa dawa zinazo...
Tanzania imezungukwa na maziwa makubwa yenye maji mengi kama vile ziwa Victoria , ziwa Tanganyika, Ziwa nyasa nk. Mara kwa mara viongozi wetu wamesikika wakisema tutumie maziwa haya kwa kilimo cha umwagiliaji, na wakati mwingine watu hujishangaa kwa nini maji haya hayatumiki kwa umwagiliaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.