Maji Mazuri is a small town in Kenya's Baringo County along the Makutano-Ravine-Kampi Ya Moto highway. This is the most southerly tip of the greater Baringo area. It neighbors Kericho's Londiani and Nakuru's Kamara areas. The settlement was formed by migrants who used to work in the Koibatek Forest, but were either retrenched or retired at one time. As such, Maji Mazuri is home to people from different ethnic groups of Kenya. The Agikuyu and Tugen people are the majority population in the larger Maji Mazuri location of Eldama Ravine division.
Habarini wana jamii,
naomba msaada wa kuyajua haya mafuta tajwa hapo juu. Nahitaji mafuta mazuri ya kung'arisha mwili mzima ambayo ntachanganya na lotion au ntapaka juu yake.
Nataka kufahamu kama hayachubui, na je yana madhara. gani kama mtu alishawahi tumia. Naona yanasifiwa sana, kabla...
Asalaam Aleykum.
Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu.
Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
Polisi wa tanzania tumesoma na kusikia malalamiko mengi sana juu yao, mpaka inakuwa vigumu kuanza kutafuta mema yao.
Tunaona kuwa Polisi ndiyo wamekuwa chimbuko la rushwa, imefikia mpaka kuna msemo mitaani "kuingia kwa pesa, kutoka kwa pesa"
katika mema yao machache ni pale tunapoona kwenye...
Habari za uzima Ndugu zangu , Nina Maharagwe mazuri Sana yanayolimwa Sana Kilimanjaro , yanaitwa "Karianzee" ni Quality Sana kuyashinda hata Maharagwe ya Njano ila kutokana na kutojulikana watu wengi wamekuwa hawayanunui.
Sina Imani kuwa ni wote hawayajui ila Kuna watu watakuwa wanayajua na...
Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio...
Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......
Nakumbuka ulienda Ikulu na moja ya kauli yako kubwa ilikuwa mazuri yenye tija na taifa hili yaendelezwe.
Leo hii kuna mkataba tata wa bandari za Tanganyika.
Upo kimya. Wewe ndio mzee wa taifa hili.
Hili sakata la Bandari zetu limenifanya niingie kwenye utafiti kidogo, niliyokutana nayo mwenyewe nikacheka peke yangu. Jifunzeni kutafuta fursa.
Tukitaka tusitake ni lazima bandari zetu ziendeshwe na mashirika makubwa ya kuendesha bandari duniani kwa masharti yao.
Hatuna ujanja, sisi...
Kwenye mapendekezo ya bajeti Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 baadhi ya tozo kama ile tozo ya kwenye miamala ambayo ni kilio Cha wanyonge wengi na Ile Kodi ya 'store' iliyopelekea mgomo Kariakoo zitaondolewa kabisa. Ukiachana na hizo Kodi, tozo na ushuru mbalimbali wa bidhaa zitapungua kabisa...
Ifike mahali tukubali kama Taifa tulikumbwa na msiba na hata baada ya msiba Taifa nilazima liendelee either tuna taka or atutaki Taifa lazima liendelee.
Mzee wetu Magufuli hatunaye tena na sasa ni zamu ya Mh Rais Samia Suluhu Hassan. Mh. Rais anapambana kama Mwanamke tukumbuke hata mngemvisha...
6 secret code
Ugomvi mkubwa katika kila mahusiano ni kushindwa kushirikiana, na sababu ni umimi au ubinafsi ambao utachukua mimba na mimba ikiisha kukomaa huzaa Magonvi makubwa na mwisho kutengana.
Onyesha uzuri wako na umalidadi wako utapendwa na kila mtu, muovu na apendane na muovu mwenzie...
Tunakubali Magufuli hakuwa mwema sana lakini hakuwa muovu kwa Kila kitu. Kama ilivyo Kila mwanadam anayo mabaya na mazuri katika amatendo yake.
Zile zama za kuungana na Mafisadi ya CCM kumtukana Magufuli Sasa imetosha. Tunahitaji Sasa kugeukia Yale mazuri ambayo aliyasamia.
Mnaweza kuyasema...
Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na Makamba? Je walishawahi kutofautiana? Maana angekuwa mtu mwema mpaka leo hii angekuwa anadunda tu...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ya Uzazi na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limesema kuwa idadi ya watu nchini India itakapofika katikati ya mwaka huu, inakadiriwa kuwa bilioni 1.4286, na kuifanya India kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani.
Kwa mara ya kwanza, mwaka jana, China ilirekodi...
Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu.
Mkoani kwetu yanaitwa 'Ebitomasi' yapo ya aina mbili, Mekundu na njano.
Unaweza kula yakiwa yamepikwa kwenye matoke au kula ambayo hayajapikwa.
Mimi kiukweli na mahusiano ya watu wawili yaani na wachumba wawili ila nilivutiwa na bwana mmoja hivi basi tukaanza text za hapa na pale . Sikujua kama ameoa . Hadi hiyo siku mke wake alivyonipigia sim
Sasa kunasiku mke wake akaona zile text zangu Kwa bwana Ake akanipigia nakuniuliza mie nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.