Sekta ya nishati na madini ni moja kati ya sekta muhimu na inayogusa maisha ya mwananchi mmoja mmoja hata mwananchi wa kipato cha chini.
Moja ya bidhaa za sekta hii ni mafuta ya petrol na dizel ambayo huagizwa kutoka nje ya nchi na kupelekea nchi kutumia fedha nyingi za kigeni katika uagizaji...
Binafasi napendekeza badala ya kuwapa waalimu mitihani kabla ya kuajiriwa, kuwe tu na kigezo cha pass stahiki cha masomo atakayofundisha.....
Sijui kwa nini umchague mwalimu wa Kiswahili & History (kwa mfano) mwenye ufaulu wa D kwa masomo husika wakati umeacha kuchukua mtu mwenye ufaulu wa B...
Punyeto ni nini?
Punyeto ni tabia ambayo inajulikana sana kwa vijana na hufanyika kwa kujichua sehemu za siri kwa ajili ya kujiridhisha kimapenzi. Hata hivyo, tabia hii ina madhara mengi kiafya ambayo yanaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya. Katika makala haya, tutajadili madhara...
Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu.
Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu alikuwa Polisi na mama yangu alikuwa Mama wa nyumbani. Wazazi wangu kwa pamoja walinipenda sana...
Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP.
Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta mtu amewapanga kwahiyo kukatisha huba kwa yeyote ni muda wowote.
Sasa katika Hali hii ile formular...
Kama malalamiko wanayoyatoa upinzani nchini, yangekua na mbadala, au yangeambatana na mbadala wa sera, mipango na mikakati bora zaidi, dhidi ya iliyopo sasa, basi ingeleta maana na changamoto halisi ya upinzani wa kisiasa, tena wenye tija, na kwakweli kama taasisi ya upinzani ingeheshimika sana...
Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar.
Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na kuboresha chetu
Utangulizi
Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi hizi zinafanana. Ni mfumo wa miaka mingi ambao chanzo chake ni tawala za kifalme za nchi ya...
Kumekuwa na tabia kwa serikali kutengua uteuzi wa viongozi wa umma kwa tuhuma za kuhusika katika vitendo vya kihalifu.
Ila kwa bahati mbaya utenguzi huu huwa unatumika kama mbadala wa kutokuwashitaki viongozi hawa katika mahakama kulingana na makosa ya jinai waliyoyafanya.
Kwa misingi...
Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM?
Kwani kuna jipya lipi...
Kwa walioangalia first half, je ni mfumo gani rahisi kuchukua mpira na kuumiliki kwa mbinu waliyotumia Mamelodi first half?
Kama timu imekuja na tricky ile mnafanyaje?au mtumie mfumo gani? Maana kwa timu inayotafuta matokeo ile mbinu yao inakera inabidi kuwasubiria tu waanzishe shambulizi wao.
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5.
Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
Mbunge Ameir Abdallah: Tafiti zipi Taasisi za 'Tiba Asili' Zimekamilisha na Kuwa Suluhisho la Maradhi Kama Tiba Mbadala?
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wasomi nchini kubadili fikra zao kwa kutumia akili vumbuzi na sio akili kibarua ili kulisaidia taifa kusonga mbele kwa...
Kama una uraibu wa nyeto, kuoa au kuwa na mademu wengi sio suluhisho. Nyeto haiingiliani popote na K.
Kuna clip iliwahi kuvuja ya waziri mmoja wa Kenya anapiga nyeto ofisini akijirekodi. Yule ni Waziri, ana mke na access ya demu yeyote muda wowote ila anapiga nyeto.
Juzi imevuja clip ya Drake...
TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi wa Barabara kwa baadhi ya maeneo na inaendelea kutathmini ufanisi wake kwenye mazingira kwa kutumia...
Kwa kiasi fulani, vina mfanano na JWTZ kimavazi na kimuundo.
Vyeo vinavyopatikana JWTZ kama SAJENT, CAPTAIN, MEJA, n.k. vinapatikana huko pia.
Vina majukumu gani huko Zanzibar?
Hivyo Vikosi vya JKU vinaweza kutumika Tanganyika kukitokea dharura?
Mwanzoni mwa mwaka huu benki ya Tanzania BOT ilitangaza kuwa itachukua hatua mbalimbali ili kutatua suala la uhaba wa dola ya Marekani uliotokana na upungufu wa sarafu hiyo kwenye akiba ya taifa. Uhaba huo umekuwa changamoto kwa biashara ya kimataifa kwa Tanzania, na kuifanya Tanzania ionje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.