Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe.
Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo.
Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani...