Habari za muda huu.
Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao.
Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu...