Habari za mchana ndugu wana JF
Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
Habari wakuu,
Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani.
Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio.
Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
Wakuu kwa wale wataalamu wa furniture, hivi ni mbao gani nzuri kwa ajili ya kuchongesha kitanda.
Maana kuna kitanda fulani nilinunua, sasa kile kitanda kishaanza kuliwa na wadudu.
Yaani kishaanza kumwaga unga unga fulani hivi.
Sasa, kwa mwenye experience na hivi vitu labda anaweza kushare...
Hi guys,
Hello everyone,
I'm Ellyskywilly.
As I told you previously that I'll be designing different kinds of houses and I'll be posting each thing which'na be doing.
So for that case, I'm still continuing with my project of house design.
And today I've come with the project which I've...
Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina...
Ni mauaji ya yule kijana wa CCM kule Njombe.
Wagombea udiwani wawili na Katibu mwenezi wa kata wote wa CHADEMA na dalali wa mbao wamekamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu na kada wa CCM yaliyotokea huko Njombe.
Pamoja na wao pia gari la mtuhumiwa mmojawapo limekamatwa na...
PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE.
Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na Katika Tanzania mikoa ya Njombe ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya kupandwa...
Waungwa nawasalimu.
Ningependa kuulizia haya majiko yanayotumia pumba za mpunga/maranda ya mbao ambayo hutumiwa sana na wachoma chips hasa maeneo ya DAR...
Niliyaona mwaka 2017 Ila kwa bahati mbaya huku mkoani nilipo sijayaona kabisa na gharama za mkaa ni kubwa kidogo..
Ningependa kujuzwa
...
Ni mashine yenye uwezo wa kuchana mbao nyingi kwa mda mfupi na kwa kutumia watu wawili tu.
Pia ni chombo kinachobebeka kwa maana ya kuhamishwa mara kwa mara.
Zipo za aina mbili Inayotumia petrol engine na motor engine. Ulaji wa mafuta ni mdogo sana.
Bei yake ni kuanzia million 17 za...
Sifa zake.
Ni mashine imara.
Huchana magogo mengi kwa mda mfupi na kwa ulaji mdogo wa mafuta na umeme kwa ile ya motor engine.
Inaweza kubebeka.
Inapatikana Arusha,Tanzania.
Bei ni shillingi million 17. Usiogope piga simu kwa namba hapo chini tutaelewana zaidi.
Kwa mawasiliano na malelezo...
Habarini ,wakuu
Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu/walio na ujuzi na pia waliofanikisha ujenzi wa Nyumba za mbao ,,mfano mzuri Nyumba za wenzetu wa ulaya, wanipe msaada na maelekezo juu ya mahitaji muhimu ya kuanzisha ujenzi huu, mazingira yanayofaaa kujenga..
Nimeamua nianze ujenzi huu...
Habari wanajamvi,
Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi. Kabla hatutajatangaza bidhaa tutoe nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kilimo cha matunda, miti na...
Mbao wanavuna walichokipanda. Walianza kufanya makosa kwa kumfukuza ndailagije aliekua akiijenga timu taratibu wakapata bahati wakampata Amri Saidi akaanza na timu vizuri.
Sijui wakawaza nini wakafanya kosa lingine kwa kumletea Ali Bushiri kocha mzoefu aliemzidi elimu ya ukocha eti awe msaidizi...
Huduma ya INTANETI sasa imerejea. Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu ulioupata leo. Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia kesho asubuhi.
Ila kwa uhalisia bado haifungui chochote bado isipokuwa Facebook tu labda.
Binafsi me ni mshabiki wa Simba na namna timu yangu inavyocheza ni ngumu Sana kupata matokeo mechi za mikoani tupo slow, atutumii energy kubwa kwenye game na ukiangalia na mbao wanavyocheza Leo tutafungwa tukijitaidi Sana ni draw
Tunapenda kukufahamisha kuwa tuna MBAO na NGUZO ZA PLASTIKI (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) zilizo katika urefu na saizi tofauti, imara na madhubuti kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa makazi, bustani na Alama za Barabarani, kukutengenezea muonekano mzuri sana.
Mbao na Nguzo hizi za...
Wadau wa JF,
Mada hapo imeeleweka bila shaka. Nataka nijitose katika biashara ya mbao baada ya kuhisi itanilipa kwa maoni yangu. Nataka ninunue kutoka mikoa ya Njombe na Iringa na kuzisafirisha kuuza mkoani Dodoma ambapo kuna fursa kubwa ya ujenzi hivi sasa.
Ni mgeni katika biashara hii na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.