Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali?
Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
Mwenye idea kuhusu "mkeka wa mbao" au "Floor decor" __ nimekuwa nikiona katika movies za nje (Ufilipino) na kwenye matangazo vifaa vya ujenzi hasa kenya.
Uzuri? wake na Ubaya? wake__ nimekuwa nikiona matangazo wakisema warranty miaka 25!
Vipi ubora wake unaweza kupiku tiles (vigae)?
Nawasilisha!
Jameni Mrusi anateswa hadi basi tu, Ukraine wamekua wanatengeneza mifano ya HIMARS za mbao, kisha wanazianika Urusi wanazinyeshea kwa mvua ya mizinga kisha wanatangaza "leo tumelipua HIMARS 20"....
Ukraine is reportedly using wooden decoys of advanced US rocket systems to trick Russia into...
Tarehe 25 mwezi Agosti mwaka 2022, Visiwa vya ForThousand, Laos, wavuvi wa huko walivua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao karibu na maporomoko ya Khone yaliyoko kwenye sehemu ya Mto Mekong.
Jamani, nyumba yangu inashambuliwa na wadudu walao mbao, wanatoa sauti kama msumeno.
Je, ni kitu gani nifanye kuwazuia ili wasilete madhara? Niko Dar Es salaam, kama kuna dawa labda niambieni inatwaje na inapatika wapi hapa Dar Es Salaam?!
Imeandikwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...na ndio kinachoendelea kwa sasa.
Kuna wakati ukijaribu ku imagine huyu Mungu anatuchukuliaje ni ngumu sana kupata jibu.
Tunachojaribu kumfanyia Mungu kwa sasa ni kama Mtu usikie kilio kikali cha Mtoto ndani alafu ukiingia unamkuta kaweka...
Sofa bed inafaa sana pale hali ya uchumi inapokuwa na changamoto na unalazimika kupanga chumba kimoja. Unaamka asubuhi unaangalia vitu vyote unavyomiliki. Kuna kitanda, jiko, ndoo ya kuogea na ndoo ya maji ya kupikia.
Kuna wale wanaosoma mchana anahitaji kuwa na meza ya kusomea na wengine...
Hii jumuia ni ya ajabu sana kwa sababu moja ya sifa za Jumui ni kwa wanachama kuwa na umoja na upendo pia, ila sasa kwa EAC ni full kutafutana.
Uganda ana bifu na Kenya kuhusu Biashara, bado ana bifu na Rwanda ya mambo ya usalama. Pia Burundi na Rwanda sio kihivyo sana zina bifu ya hapa na...
Habari za wakati huu ndugu na jamaa, mimi ni mhanga wa tatizo la mbao za nyumba yangu niliyopaua miezi 9 iliyopita toka mwezi wa 9 mwaka jana ila kufika leo hii nasikia juu kwenye dali kelele za wadudu kama wanakula mbao asubuhi pia nikiamka naona kuna uchafu wa mbao kuliwa kama unga unga...
Uswizi inatazamiwa kuwa ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na jengo refu zaidi la makazi litakalojengwa kwa mbao.
Mradi huo uliopewa jina la Rocket & Tigerli, utajumuisha majengo manne likiwemo moja litakalokuwa na mnara wa urefu wa mita 100 (futi 328).
Ujenzi wa jengo hilo unatazamiwa...
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja.
Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure!
Tunapatikana Buguruni chama Dar es salaam
Tupigie[emoji3513] 067 898 0404
Tupigie[emoji3513] 062 316 0404
Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa ichukuliwe mno na Yanga SC kwani katika Mpira wa Miguu lolote laweza Kutokea na Mifano ya hili iko mingi...
Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation.
Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff
Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.