Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana.
Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu.
Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa...
Hello!
PICHA ZA UKUTANI
Kulingana na mabadiliko ya teknolojia tumekuletea mfumo mpya wa picha za ukutani zisizokua na kioo ni mbao tupu. Ni imara na haziloani na maji kulinda ubora wa picha.
Karibu tukutengenezee picha mbao iliyo Bora zaidi
A4 15,000/=
A3 25,000/=
A3+ 35000/=
A2 55,000/=
A1...
Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko tayari kutoa kamisheni kwa mtu atakayenipa connection ya masoko. Namba yangu 0783881930
Mwaka 1998 nilipigwa roba ya mbao mchana kweupe. Ilikuwa ni Mwananyamala, nina backpack 🎒 naenda kwa Taki Mdeng'o shosti wangu kumringishia visa yangu ya USA 🇺🇸.
Safari na ndoto za kuingia nchi pendwa zikaniisha. Taking yuko Uingereza. Hadi leo
Binadam tunalalia vitanda asilimia kubwa ni mbao! Ebu waza idadi ya kaya mtaani kwako halafu uzidishe kwa taifa zima utagundua ni miti mingi imepotea kutengenezea hivyo vitanda!
Waza idadi ya majumba, kila nyumba ina milango ya mbao, kenchi za mbao, madilisha ya mbao na makabati ya mbao hakika...
Mbao Tanzania⚠️je,unatafuta MBAO IMARA zenye Dawa(TREATED),zilizokomaa kwa zaidi ya miaka 15
Na Zisizoharibika kwa kuliwa na MCHWA? kwa BEI POA KABISA 💥
⚠️Tupo ILALA BUGURUNI,karibu na daraja la buguruni.
Jina la ofisi ni MBILINYI TIMBER
⚠️WASILIANA NASI KABLA YA KUJA KUEPUKA UTAPELI...
Habari wanajamiiforum,
Napenda kuuliza kati ya mbao za Mkongo na Mninga, zipi ni nzuri zaidi au bora zaidi kwa kutengenezea furnitures kama vile kitanda na kabati?
Ahsanteni
Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana.
Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi.
Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara.
Mbao ni za Mkongo. Haziliwi na wadudu na Haziozi nadhani kwa wajuzi wa mbao wanazifahamu hbr...
Nina shamba ekari 50 lina miti ya Asili mingi ikiwemo mninga na mkulungu, yeyote aliyetayari aje inbox tuzungumze tushirikiane. Serikali imeanza kutoa vibali vya uvunaji.
Karibun sana
Jina lingine ni iroko. Ni mti wenye mbao imara ambazo pia hard wood. Unapatikana Afrika kwenye misitu ya mwambao wa bahari kutoka Benin mpaka Angola, Msumbiji Lamu Madagascar.
Inasadikika miti hii inafuga mashetani, kule Benini sadaka hutolewa chini ya mti huu hasa kwa wenye matatizo ya...
We are ecoacts, we produce plastic timber and poles, our timber are not rotten, terminate resistant, not get fungus, environmental friendly, durable and strong, also our plastic timber are suitable for furniture making, fencing making , gardens making, and decking,
For more info contact us...
Habari za hapa kwa wataalam.
Ninampango wa kuezeka nyumba ya kuishi wiki ijayo. Mimi sina uzoefu sana ktk mambo ya building industry hasa roofing. nimepita hapa na pale kupelelez mbao zinazouzwa maeneo mbali mbali hapa Dar nimekutana na aina mbali mbali.
1. pine (misonobali)
2. Cyprus
3. padoo...
Mbao kutoka shambani, zinepandwa 1.1.2000 zinauzwa kuanzia shs 70,000 ziko mbao 103 size mbalimbali 9x2, na 7x2 . 0765004347 au 0622303759
Zinapatikana Mvule 103
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.