Wakuu habarini
Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
Nini kipo behind mbao maana hata Yesu stori yake ya kufa ilibidi msalaba uwe ni wa mbao hata baba yake wa kufikia alikuwa seremala fani ya kuchonga miti. Hata Yuda na ye alijinyonga mtini. Hata Abeli alibarikiwa alikuwa mkulima ana deal na miti mazao ama vegetables.
Jeneza lazima tu liwe...
Guys nina hela hapa,
Leo nimesema nimuungishe mwana hapa uwe humu JF
Usiniconect na mtu nawajua hapo Keko
Uwe unauza wewe kizuri mbao bora kabisa
Nipo hapa kisuma kama karibu na temeke nakifata sasa hivi kama ni mbali nifanyie delivery
Yaani leo leo
6*6
Mbao nzuri mnaita mninga sijui
Habari wanaforums! Nauza Mbao za mti wa pine zenye ubora, kipimo kilichojaa na bei rafiki.
Size ambazo zinapatikana ni
2 by 4
2 by 2
2 by 3
1 by 4
1 by 10
1 by 8
1 by 6
Ninapatikana Wino Songea Tanzania
Yard yetu iko Mkabala na njia juu ya Songea - Njombe
Kwa Mawasiliano zaidi piga namba...
Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa.
Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao.
Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa.
Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
Nimesoma hapa JF kuhusu NHC kununua eneo la urafiki kwa njia ya Mnada kwa Shilingi Bilioni 3, nikahisi labda wamekosea au walimanisha Dola Bilioni 3, nilipoenda kwenye kurasa rasmi za NHC nikakutana na taarifa ileile.
Taarifa ya Ununuzi - NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo...
Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu pamoja na mtandao mkubwa wa uhalifu kaskazini mwa nchi hiyo.
Biashara hii haramu ya miti ya...
Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani...
viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby
■ kiti cha watu 2 vipo vi3
■meza 3
■stuli 6
inamaanisha kiti cha watu2+meza+stuli 2=150000
(mzunguko uko mara 3) inamaana ukichukua vyote ni laki450000 bei...
Wakuu kwema!!
Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza.
Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa
Vitu muhimu navyotaka kujua
1. Bei ya chainsaw
2. Bei za miti
3. Bei za wachananji/fundi
4.Bei za mbao...
Habari wakuu,
Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.
Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana.
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa.
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10.
La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10.
La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia
Miembe aina zote.
Parachichi aina zote za biashara na nyumbani.
Mipera iko...
Habari wana JF
Nimetoka kumtembelea ndugu yangu kwa bahati mbaya dari lake lina shambuliwa na mdudu ambaye anapiga kelele kama msumeno. Nilishtuka kidogo na huyo mdudu naambiwa anachoronga mbao within short time unakuta unga unga hivi. Je dawa ya huyo mdudu ni ipi, tafadhali hili ni jambo la...
Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.