Habarini ,wakuu
Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu/walio na ujuzi na pia waliofanikisha ujenzi wa Nyumba za mbao ,,mfano mzuri Nyumba za wenzetu wa ulaya, wanipe msaada na maelekezo juu ya mahitaji muhimu ya kuanzisha ujenzi huu, mazingira yanayofaaa kujenga..
Nimeamua nianze ujenzi huu...