Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano mingine Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wajita...
Leo alfajiri Tarehe 13/4/2024 limepita gari la matangazo katika jiji la Mbeya na vitongoji vyake kwamba waziri wa ardhi atakuwa ukumbi wa mkapa kusikiliza na kutatua KERO.
Slaa unajua uamuzi wako uliotofautina na WA mtangulizi wako Lukuvi unavyowatesa wananchi wanaotakiwa kubomolewa makazi Yao...
Habari za muda huu wana JF,
Licha ya kuwepo kwa mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji katika mkoa wetu huu wa Mbeya lakini maeneo mengi yamekumbwa na ukosefu mkubwa wa maji.
Kwakweli hali ni mbaya, mfano, hapa mtaani kwangu ni kama mwezi hivi sasa hakuna maji na kama yakitoka basi hutoka usiku...
Katika jiji la MBEYA
Tunashindwa kujua USALAMA BARABARANI MSIMAMIZI NI NANI.
Kuna hivi vigari vya tairi tatu.
Maarufu bajaji uhusiano wavyo na usalama barabarani haupo kabisa.
Mbele ya askari wa usalama barabarani hizo bajaji zina over take kushoto, na cha ajabu zikiwa na abiria ndani...
Igweeeeeeee
Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea
Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala...
TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali.
-Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango...
Habari wapendwa.
Tukiwa tupo mbioni kumsaidia mh rais samia kwenye kuleta maendeleo kuna baadhi ya mambo ambayo huenda yanasababishwa na viongozi kwa kujua yaani makusudi au kwa kutojua.
Nianzie kwenye mambo yafuatayo kwenye jiji letu la mbeya ambayo kwa kweli yanakera sana .
#soko la sido ni...
Yeyote anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dsm; Nahitaji lift.
Gari lazima liwe 2.8 GD6 Hilux 2024/Mercedes Benz 2024 yenye leather seats, AC inayofanya kazi na cooler box.
Tukifika Dsm mimi ndio nitaendesha gari.
Tafadhali, inbox me
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly.
Ajali hii imetokea baada ya gari lao kigongana na roli Alfajiri ya Leo!
Mungu wape wepesi ndugu zetu!
Tutaendelea kupata taarifa kamili...
Watu 10 wamekamatwa Jijini Mbeya Wakitorosha Madini ya Dhahabu kilo 9.5 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.5 na kuisababishia Serikali hasara.
Waziri wa Madini Antony Mavunde ameagiza Kamishna wa Madini kufuta leseni za watu hao popote pale ndani ya Nchi.Tukio hili la utoroshaji limekuwa ni la...
#Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali.
Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati...
Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili.
Tukio hilo limetokea majira ya saa...
Habari,
Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
Baba Mtakatifu Fransisko amemteua mheshimiwa sana Padre Godfrey Jackson Mwasekaga wa Jimbo Kuu katoliki la Mbeya kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Mbeya , leo tarehe 09.03.2024
Mhashamu Askofu mteule Godfrey Jackson Mwasekaga alizaliwa Machi 17 mwaka 1976 Kyela, jimbo kuu Katoliki la Mbeya...
Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
Abiria zaidi ya 300 wanaosafiri kwa gari moshi (Treni) kupitia reli ya TAZARA kutoka Nchi jirani ya Zambia,na Mikoa ya Songwe na Mbeya kuelekea Mkoa wa Dar es Salaam, wamekwama kwa zaidi ya saa nane katika stesheni ya TAZARA Mkoa wa Mbeya baada ya kichwa cha gari moshi hilo kupata hitilafu na...
Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu na kudhibiti ukiukwaji wa sheria za usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari Machi 04...