Wakali wa pikipiki kutoka Japan, Honda, wametuletea wadau wa pikipiki EV mbili, moja inaitwa EV Fun na nyingine EV Urban.
EV Urban itawahusu wale wapenzi wa scooter za kuzunguka nazo mjini au short trips, mfano kazini au shuleni au sokoni.
EV Fun ni kwa wapenzi wa sport bikes, kwa mara ya...