Habarini wana JF nadhani wengi mtakuwa mmerudi toka France, Dubai, Usa, Uk, Canada, Sweden, Norway n.k kwenye Mapumziko.
Nashukuru mimi ndo nimerudi majuzi nlikuwa hizo nchi pia. Nikapigiwa simu kuwa kuna mfanyakazi mwenzetu kafiwa na jirani yake wanataka wasafirishe maiti kwenda Bukoba kwa...