Katika harakati za kupiga vita Ushoga yanishangaza elimu ama akili inayotumika kisheria..
SHOGA anakamatwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka 30, Jela ambayo kuna Wanaume njaa wasio na wake! Je, hii ni adhabu au starehe kwao.🤔🤔
Je, kumpeleka Shoga Magereza sio kama tunapandikiza mbegu ya...
Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi...
Polisi katika Kaunti ya #Kilifi wamemkamata Paul Makenzie Nthenge wa Kanisa la Good News International baada ya vifo vya Waumini 4 na kuwaokoa wengine 11 wakiwa mahututi msituni ambapo walidaiwa kudanganywa na kufunga hadi kufa na Mchungaji huyo.
Nthenge alianza kufuatiliwa mwishoni mwa Mwezi...
Heri ya Pasaka?
Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU.
Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima?
JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka MBINGUNI?
1. Inamaana Mungu alitengeneza karatasi.
2. Akatafuta Penny Compyuta printer nk?
3. Mbona ni...
Yuda Iskariote ni mmojawapo wa wahusika wenye sifa mbaya sana wanaopatikana katika Biblia yote. Akiwa mmoja wa wanafunzi waliotumainiwa, alimsaliti Yesu kwa vipande 30 vya fedha, kisha Yuda akajiua. Nadharia kuhusu sababu za matendo ya Yuda na mazingira yanayozunguka kifo chake ni nyingi.
Yuda...
Nimerudi tena.
Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake.
Guyz, hawa viumbe wana nafasi ya pekee mno mbinguni. Mungu awabariki wanawake wote.
Shukrani za dhati kwa Mwenyekiti cha wasiliti bwana Yuda kutuletea pasaka.
Na kuanzisha mtindo wa usaliti.leo tuna mayuda wengi duniani kila Kona.
Tumebakisha siku chache tumkumbuke Yuda maana tumemsahau
Wakuu habarini za jioni
Nipo napitia Bible hapa kuna kitu kimenitatiza kidogo
Swali langu..wakati mussa yupo mlima sinai akiwa anapokea amri za mungu.
Huku jamii alioiacha walianza kuchonga sanamu kuabudu
Je, hawa watu walitenda dhambi? Kwa kuabudu miungu wengine
Sasa kama walitenda dhambi...
Ieleweke kwanza Tanzania haina dini ila watu wake wana dini zao, na kila mmoja ana uhuru wa kuabudu cha msingi asivunje sheria za nchi.
Duniani hapa kuna dini zaidi ya 4000, ikiwemo dini ya Kikristo.
Katika dini ya Kikristo pekee kuna madhehebu zaidi ya 500 hawa hudai kumwabudu Mungu wa...
Ifikie hatua serikali yetu iweke sheria kali dhidi hawa manabii na mamungu makanjanja katika nchi yetu hii.
Kiukweli ulichokifanya milard Ayo siyo haki kabisa kusambaza upuuzi Kama huo aliouzungumza huyo anayejiita mungu Zumaridi.
Kupitia hiyo interview hakika Kuna watanzania wameendelea...
As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu...
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali
Onyema amerekodi video akilitaka Kanisa la Dunamis International kutimiza kile anachokitaka kwa kuwa alifanya...
Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii.
Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu.
Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
Kitabu cha Mhubiri, moja ya vitabu vya biblia, sura ya 12 aya ya 7 inasema baada ya kufa roho ( nguvu/kani ya uzima iliyo ndani ya mwanadamu) humrudia Mungu aliyeitoa. Mafundisho ya roho ya mwanadamu kwenda Mbinguni/paradiso au jehenamu baada ya kufa yametoka wapi?
Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni
Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo
Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila...
Nasikitika kusema kuwa hizi radio zina magenge ya hao eti wanaitwa watangazaji , lakini kinachochoendelea huko ni kichefuchefu tupu.
Asubuhi tu wakishaamka na kufika kwenye hayo magenge yao , utaskia 'Aloo vipi wewe ? umeoga kweli wewe ? Leo umelala wapi ? mbona unaonekana umechooooka sana ? au...
Ikiwa mbinguni/peponi wanaingia watakatifu! Tujiulize swali hili kuwa mtu atakwendaje mbinguni wakati anaishi dunia iliyojawa na dhambi?
Tunatumia vitu vingi vinavyopatikana kwa njia zisizo sawa kama watu wa imani wanavyodai.
Inawezekana mtu akajihisi anatenda mema na ni mchamungu lakini...
Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very dejected,natafakari hayo mambo as I was falling asleep. Nilikuwa katika guest house.
Nikaamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.