USHUHUDA NAMBA MOJA JUU YA MBINGUNI NA KUZIMU.JIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKOJIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKO!FALME ZA MBINGUNI NA KUZIMU,NA KURUDI KWA KRISTOAngelica ZambranoImefasiriwa na Alpha Wilson Magubila kwa Neema aliojaliwa na MunguKwa kipindi cha masaa 23, binti mdogo wa ki-Ecuado aitwaye...
Leo nimekaa na kujiuliza. Kwa wakristo tunaambiwa baada ya Yesu kurudi na kuwachukua wateule wake hao wateule watakaa mbinguni kwa miaka 1,000 wakijifunza hukumu ya wenye dhambi. Hiyo miaka 1,000 ni sawa na masaa 8,760,000. Na katika kujifunza hiyo hukumu hao wateule watakuwa wanaangalia "video"...
INTRODUCTON:
Shalom!!
Nawakaribisha tena Mbinguni, Mbinguni ndiko tulikokuwako milele kabla ya Mungu kutuleta duniani kupitia pumzi ya uhai Kwa baba na mama zetu wa duniani.
Mbinguni ni wapi?
Hapa tunapoishi ni Mbingu ya kwanza, Mbinguni tunapoongelea Leo ni Mbingu ya tatu. Ukiigawa katika...
Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
Habari wapendwa!
Watu wengi wanacheza na dhambi ni kwa sababu hawajui jinsi mbinguni kulivyo! Leo nitawatazamisha jinsi mbinguni kulivyo baada ya hapo utaamua mwenyewe kuendelea na dhambi au kwenda huko
Kutokea uso wa nchi hii kwenda juu kuna mbingu ya tatu, isiyoonekana kwa macho ya nyama...
Hii ni makala ya yule msichana wa kule Ecuador aitwaye Angelica Zambrano. Huyu alichukuliwa na kupelekwa Mbinguni na Kuzimu.
Kule kuzimu aliwakuta wasanii mbalimbali, akawakuta viongozi wa dini. Yaani yule mtu mliyemwamini sana, naye akakutwa huko. Tutaisoma yote. Ukiingia mitandaoni ipo ya...
Hawa jamaa waliopinda, wahuni, wezi, vibaka na watu wa aina hii licha ya ukorofi wao huwa wakibanwa kwenye kona ni wapole sana na wepesi kutubu.
Nakumbuka ajali moja ya Bajaji abilia wote walikuwa wamelewa chakali lakini wakiwa majeruhi walikuwa wanatubu na kumuomba Mungu fasta kabla hawajadedi...
PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..."
Tukumbuke kwamba. Mama huyu alikuwa na ujasiri wa kuendelea na ujauzito - na ni kitu gani kilichompata...
Ufunuo 12:1
"Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!"
Luka 1:26
"Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya, kwa msichana mmoja...
Utafiti kutoka Chuo kimoja Kikuu huko London unasema kwamba, unapojikwaa au kupata maumivu, kiwango cha uchungu unachopata kinategemea na kiwango chako cha maisha.
Iwapo wewe ni maskini basi utahisi uchungu mwingi zaidi kuliko yule ambaye ni tajiri.
Una maoni gani kuhusiana na utafiti huu?
Haya maisha yana mengi, eti niwe jambazi kama Gabi wa UMUGHAKA, Niue watu, niwatapeli watu kwa kuwapa hela feki. Niwe mchawi, nizini na wake wa watu na watoto wao niwape mimba, kisha mizikatae hizo mimba.
Niibe mali ya umma, pesa ya kununua madawa ya watu masikini nikaifiche Switzerland 🇨🇭...
Wale jamaa wahuni sana , nawachukia kiroho mbaya. Nliwahi fikiria hata kuwaroga. Basi tu ila nikiona hata jina lao tu napaliwa na chakula, pumzi inakata nahema kwa shida na macho yanakuwa mekundu.
Yaani wale jamaa wakunilisha mimi pop corn tsh 8,000? Pamoja na mademu 4 jumla 40,000 pop corn...
Hello Mungu ni mwamba wa yote!
Ama kwa hakika wazuri miongoni mwa wakorinto hawafi, na wakifa husifiwa mithili ya malaika wateule waishio thethalonike.
Spinning for the dead angels does not live long and doesn't work with the common majority. Now that, the minority have assumed bust up and...
Mara tu baada ya kuwasili mbinguni, Bernard Membe anakutana na Rais John Magufuli wanasalimiana na kuanza kuzungumza, ila punde si punde Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere anawajoin. Membe alimuuliza Mwalimu Nyerere kama alikuwa amefurahishwa na jinsi Tanzania ilivyokuwa ikiendelea tangu...
Kuna dini nyingi duniani na kila dini ina mtazamo wake kuhusu jinsi ya kufika mbinguni. Sijui kama mbingu ni ile ile kwa kila dini na sijui kama kuna njia bora kuliko nyenzake, lakini Hapa ni maelezo mafupi juu ya jinsi ya kufika mbinguni katika dini kadhaa maarufu:
Ukristo: Kulingana na...
UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka
-
Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
amavubi gfsonwin
bado
hii
kenya
king'asti asprin
kufa
kufunga
kufunga hadi wafe
kutoka
kutoka kenya
maiti
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mbinguni
njaa
polisi
tanzania
tena
wafa
waliofunga hadi kufa
waumini
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
JamiiForums imevamiwa na viumbe vya ajabu kabisa, ambavyo sasa havitaki kutafuta maarifa tena, havitaki tena kusoma vinataka kuangalia videos ,za tic toc zisizo na tija wala afya kwa akili zao.
Maisha ya rohoni ni mapana sana kuliko maisha ya mwilini. Wengi hatuzijui siri za rohoni, lakini tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.