Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
Ufunua wa Yohana 22:12
Neno: Bibilia Takatifu
Yesu kristo anasema,
12 “Tazama, Ninakuja upesi! Nakuja na tuzo yangu, nimpe tuzo kila mtu kulingana na matendo yake.
Duniani hatuna muda kabisa
Tuzo yako , kwenye mshahara ule ambao Kila mtu ata upokea upo kwenye Yale UTAKAYO TENDA NA SIO...
Waziri wa Uganda akinukuliwa
"Ikiwa hutumii akili alizokupa Mwenyezi Mungu, usimlaumu unaposalia kuwa maskini. Jitahidi kuushinda umaskini kwa sababu kuwa tajiri ni utukufu,"
Gazeti la New Vision la Uganda linamnukuu kiongozi mmoja mkuu nchini Uganda akisema kuwa
"maskini hawataenda mbinguni...
1: UTAWALA: Watawala waliotawala dunia zamani walitumia maandiko ya Mungu wa kiebrania kama miongoni mwa machapisho yao.
2: Ndoa. Kanuni za ndoa zinazosisitizwa katika biblia zitakufanya ufurahie ndoa hadi mwisho wako. Mke mtii Mume, mume mpende mke.
3: Muda. Tabia ya kujali Muda inayoleta...
Kuna dhana ya kwamba mbinguni ukifika basi full kiyoyozi,yaan bata lake usipime, kuimba na kucheza tuu na raha nyingi, wengine wakaenda mbali zaidi ukifika huko unapewa mademu wa kutosha, yaani tendo la sex litaboreshwa kileleni unachukua siku tatu ndio una.., mtanisamehe nimeenda direct bila...
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi msisahau majimbo yenu, 2025 ni kesho kutwa, na sisi tunataka Rais huyu [Samia Suluhu Hassan] arudi madarakani. Na wajumbe wanawasubiri."- Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.
Chanzo: Swahili Times Mtandaoni
Lini uliteuliwa kuwasemea Watu wote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.