Utajiri ni mchakato wa muda mrefu,watu wengi wanashindwa kuelewa hili na kuanza kusema kuna utajiri wa nguvu za Giza Hilo ni hapana,
It takes time inaweza kuchukua miaka 10,20,30 kutengeneza utajiri na ndani yake kuna sacrifice za kutosha.
Kile unachokifanya sasa kifanye kwa bidii hakika...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema kuwa makampuni hayo yamekuwa yakiwaingiza...
Watu wanaoamini katika mambo makubwa wanaitwa wabunifu wa maono makubwa au watu wenye maono makubwa.
Hawa ni watu ambao wanaamini na kutafuta kutimiza malengo ya juu au malengo makubwa ambayo wengine wanaweza kuyaona kama changamoto au yasiyowezekana. Sifa zao ni pamoja na:
1. Ubunifu –...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.