Watu wengi wanashindwa kuelewa utajiri ni mchakato wa muda mrefu

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Utajiri ni mchakato wa muda mrefu,watu wengi wanashindwa kuelewa hili na kuanza kusema kuna utajiri wa nguvu za Giza Hilo ni hapana,

It takes time inaweza kuchukua miaka 10,20,30 kutengeneza utajiri na ndani yake kuna sacrifice za kutosha.

Kile unachokifanya sasa kifanye kwa bidii hakika lazima kitakulipa tu hapo badaye na uwe na nidhamu ya kile kidogo unachopata believe me lazima utaona matunda ya kazi yako.

Utajiri hauji kama mvua
 
utajiri hauji kama mvua
Hivyo tu sio
 
Uwezi kutajirika bila kucheza RAFU.

Msukuma alielezea jinsi alivyopata pesa lakini unaona sehemu CD inaruka ruka.....maana yake UTAJIRI ni siri ,yeye ndiyo anajua amepata pesa vipi.
 
Back
Top Bottom