hahaha basi ulishindwa kitu bwashee ndomana umerudi nyumaUnavyosema ni kama hatujawahi kuzitafuta kwa njia hiyo bwashee
nimekuelewa kwasabu hata nguvu za giza ni process ambayo wengi hawawezi ni wachache sana ndo wanafanikiwaUtajiri ni process.
hakuna utajiri wa nguvu za giza
Sijarudi nyuma , ila kule hakuna kitu majambazi tuhahaha basi ulishindwa kitu bwashee ndomana umerudi nyuma
nikweli kabisa kwasabu unawezaje kupewa utajiri na mganga anayelalia ngozi kwenye nyumba ya nyasi ambayo upepo mkali ukija inazolewaSijarudi nyuma , ila kule hakuna kitu majambazi tu
Upo sahihi mkuku saivi Kuna konyagi lagerGambe inakula hela bwashee, labda upige zako balim au igo , ila ukitaka kulewa kijanja lazima upasuke
Nakubaliana na wewe utajiri wa nguvu za giza upo ila wenyewe hauchukui muda mrefu.Utajiri ni mchakato wa muda mrefu,watu wengi wanashindwa kuelewa hili na kuanza kusema kuna utajiri wa nguvu za Giza Hilo ni hapana,
It takes time inaweza kuchukua miaka 10,20,30 kutengeneza utajiri na ndani yake kuna sacrifice za kutosha.
Kile unachokifanya sasa kifanye kwa bidii hakika lazima kitakulipa tu hapo badaye na uwe na nidhamu ya kile kidogo unachopata believe me lazima utaona matunda ya kazi yako.
Utajiri hauji kama mvua