mbinu za utajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanashindwa kuelewa utajiri ni mchakato wa muda mrefu

    Utajiri ni mchakato wa muda mrefu,watu wengi wanashindwa kuelewa hili na kuanza kusema kuna utajiri wa nguvu za Giza Hilo ni hapana, It takes time inaweza kuchukua miaka 10,20,30 kutengeneza utajiri na ndani yake kuna sacrifice za kutosha. Kile unachokifanya sasa kifanye kwa bidii hakika...
  2. JamiiForums Tanzania Watu 19 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufundisha vijana mbinu za utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema kuwa makampuni hayo yamekuwa yakiwaingiza...
  3. JamiiForums Tanzania Matajiri wengi wapo katika kundi hili. Soma kama unataka kuwa tajiri

    Watu wanaoamini katika mambo makubwa wanaitwa wabunifu wa maono makubwa au watu wenye maono makubwa. Hawa ni watu ambao wanaamini na kutafuta kutimiza malengo ya juu au malengo makubwa ambayo wengine wanaweza kuyaona kama changamoto au yasiyowezekana. Sifa zao ni pamoja na: 1. Ubunifu –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…