mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri

    Zifuatazo ni Kanuni na Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri. Kanuni hizi nilizipata kwenye andiko la gazeti la Mwananchi mtandaoni 2022 na namini zitakusaidia 1: Uwe na tabia ya kupenda watu kwa moyo wote, hali kadhalika na wewe watakupenda. 2: Heshimu kila mtu na kila mtu umwone ni muhimu...
  2. Mbinu za Siri Wafanyabiashara Wakubwa wa Kitanzania Wanazitumia Kupata Utajiri!

    Wadau wa JF, Karibuni! Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo wale waliotoboa, wanadunda bila stress, huku wengine wakibaki wakiwatazama tu kwa mshangao. Swali...
  3. W

    Mbinu zilizotumika kuzuia Uzimwaji wa Mitandaoni katika Nchi za Bara la Asia na Oceania. Tanzania tunachakujifunza hapa

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa kujieleza Mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya "Freedom of the Net"...
  4. Haya wale Wagumba Tukuka JamiiForums mmepewa Mbinu ya bure hii ichukueni upesi tafadhali ili muijaze dunia

    "Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba ukijitunza kwa siku zote hizo ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu" Dkt. Nathanael Mtinangi, Daktari...
  5. Naomba mbinu ya kukukwepa utapeli wa mtandao wa Yas!

    Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa, katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
  6. M

    Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

    Moja ya kazi ngumu kwa mfanyabiashara/mtu wa mauzo. Ni kuuza bidhaa/huduma za bei kubwa kubwa. …..Kuna sababu nyingi tu ambazo huchagiza hali hiyo Ikiwemo kupoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja (financial risk) Au hicho kitafanya kazi iliyokusudiwa ? (functional risk) Au watu watanicheka...
  7. Pre GE2025 Mahakama yaamuru Dkt. Slaa kufikishwa Kisutu Machi 4 ili kutolewe uamuzi wa kesi inayomkabili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo itakuwa inasikilizwa kwa njia gani. Uamuzi huo ulitolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu...
  8. Ni mbinu ipi Mwanaume uliyetoka 'Kumchiti' Mkeo unatakiwa uitumie pale akikufanyia 'Ambush' ya kufanya nae Mapenzi huku ukiwa Umechoka sana?

    Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo kwa Shemeji yenu ni kwamba leo atataka nimchape nao / nimkaze hivyo nataka Kumkwepa na ikiwezekana...
  9. Zijue Mbinu Hizi za Kuwa Tajiri("Milionea")

    Watu wengi wana ndoto za kuwa matajiri. Wanafanya kazi kwa bidii usiku na mchana ili wawe matajiri. Hata hivyo ni wachache wanaofanikiwa kuupata utajiri. Leo nakutajia baadhi ya mbinu muhimu za kupata utajiri au kuwa milionea/bilionea – sizungumzii utajiri unaopatikana kwa bahati au kwa kurithi...
  10. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Wanajukwaa heshima iwe kwenu. Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki? La Hasha, Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
  11. TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

    Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...
  12. Dondoo/ Siri/ Mbinu za jikoni

    ▶️DONDOO ZA JIKONI:- 1🧂Ukiandaa nyama kwa viungo kama tangawizi, thomu na masala ongeza mafuta kidogo na mtindi vijiko viwili utafurahi. 2🧂Ukikosa vanilla unaweza saga ganda la limao bichi linaleta harufu nzuri kwenye keki na chapati za maji. 3🧂Ukipika mboga ya karanga tumia maziwa kukorogea...
  13. Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit: Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika ka

    Mjadala: Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025 Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika. Hapo kuna mambo kadhaa yanahitaji kujadiliwa kwa kina: Tutumie vyanzo vipi vya nishati...
  14. Tundu Liisu atatumia mbinu gani kushawishi watu waandamane, Watanzania wa kizazi hiki ni waoga sana

    Nimemsikia akisema No Reform,No Election, Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima. Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi? Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano...
  15. Wanajeshi 1000 wa Korea Kaskazin wameuawa mpaka sasa. Wanakosa mbinu za Kisasa

    Takriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu. Korea Kaskazini inaaminika kutuma wanajeshi 11,000 kusaidia jeshi la Urusi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine walioko eneo la Kursk kusini magharibi...
  16. Je ni mbinu ya kimkakati kuwapa uraia wachezaji wa kigeni kwa maandalizi ya CHAN na AFCON?

    Wakuu nadhani siyo jambo la kawaida uraia kutolewa kwa wachechezaji wa kigeni,ilianza kwa Singinda Big Stars sasa nasikia Simba nao wachezaji 9 wanaomba uraia. Nimewaza tu je huu sio mpango kweli kwa mechi za kimataifa kama CHAN na AFCON ili tuwe na kikosi imara cha Taifa Stars? Tusishangae...
  17. Uzi wa kijobless na mbinu za kidigree (utatu wenye utata

    UZI WA KIJOBLESS NA MBINU ZA KIDIGREE (Utatu wenye utata) GAP YEAR......!!! Kati ya mwaka 2017_2018, inaweza kuwa mwanzoni au mwishoni mwa miaka hio kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri. Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya kusambaza vinywaji. Yaani mimi ndio nilikuwa natembea na gari...
  18. R

    Pre GE2025 Kauli ya Lema kutogombea ubunge Arusha mjini ni Mbinu tu ya kisiasa!

    Hellow! Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA. NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani! Muda ni mwalimu. Tusubiri.
  19. Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

    Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June. Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima. They are so proud ( wajivuni kupita kiasi) They have got the most biggest egos in the...
  20. K

    Fadru, baada ya Ibenge, ndiye anayejipambanua kwa sasa ndiye mbabe wa mbinu

    Ibenge Yupo amejenga jina tayari, mbabe Wa mbinu. Anaogopwa! Kikubwa kinachombeba ni mbinu Ya Michuano husika. Kujua Michuano inahitaji nini kwa wakati husika? Na kuweza kutengeneza mipango ya kumaliza issue. Fadru Davis. Kocha mwingine asiyeimbwa Ligi ya NBC na CAF, Wachambuzi wote huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…