mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Nimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k Kwa ugumu wa maisha jinsi ulivyo mfumuko wa bei ni ndoto kwa sisi watumishi wa halmashauri kutoboa, Kuna clip moja...
  2. 5 tricks to make girls or women chase you

    I hope every Tanzania back home is doing pretty fine. Today I would love to share with a brief talk on how as man you can trick women and girls so that they may forced to chase you Basically this a Psychology Thread so if you can picture yourself as a person capable of doing these following...
  3. D

    Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
  4. Nyie ambao mmeacha kuzagamua wake za watu mmewezaje? Tupeni mbinu ili na sisi tuachane

    Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu? I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
  5. Mbinu Bora ya Kutumia Kujenga Himaya ya Utajiri Wako Kupitia Ardhi na Majengo

    Lengo kuu la huduma zangu za uandishi kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni: ✓ Kuwasaida watu kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. ✓ Kujenga himaya ya utajiri kupitia ardhi na majengo. Nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara swali kuhusu ni mbinu gani ya kujitengenezea kipato kutokana na...
  6. M

    Je, ulitumia mbinu gani kuingia kinyemela shuleni na kitu kisichotakiwa?

    Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
  7. Narattive: Mbinu ya 'Kidiplomasia' inayoweza kulinda mahusiano yako dhidi ya waharibifu

    Hili neno 'narattive' huwa linatumika sana kwenye siasa za kimataifa hususani kwenye mahusiano ya kimataifa. Narattive ni silaha moja muhimu sana katika kuhakikisha kwamba, nchi inalinda ideology yake na misingi yako pale inapohusiana na taifa lingine. Kwa mfano nchi kama America na Ulaya...
  8. B

    Simba tatizo ni mbinu na kutokuwaheshimu Raja

    Ukiangalia mechi vizuri Simba tuliwadharau RAJA mpango kazi wa kucheza nao ukawa kama tuncheza na ruvu. Haiwezekeni ucheze na RAJA uaache magap nyuma na ktkt makubwa namna ile. SImba tubadilike namna ya kucheza na wapinzani. Katika palikufa kabisa kwa sbb saido ilibdi awe anakuja kukaba chini...
  9. Mbinu za kujitambua

    Kwa kifupi naweza kusema kujitambua ni hali ya kuwa na ufahamu wa nini kuhusu wewe.Hali yako,umuhimu wako,malengo yako,hatima yako, changamoto zako, nk, hayo yote yanakuwa wazi kwako kwa kujitambua. Dhana ya kujitambua kwa zama za sasa imekuwa kama kengele ya kanisa au azana ya msikiti, kwa...
  10. Leo ndio siku ya kuwaacha mademu wangu wote nitumie mbinu gani nibakize mmoja tu?

    Habari ndio hiyo. Siwatakini nyie wote, namtaka mmoja tu kati yenu nyie wote. Watu wa takwimu wameshindwa kuniweka mmimi kwenye category yangu special, nina mademu 14 ila mmoja tu ndio nimempenda. Kawazidini nyie wengine wote akili, ujuzi, maarifa na kila kitu. Nyie wengine mmemzidi mwenzenu...
  11. Wenye kuhudumia harusi tupeane mbinu kwenye masoko mapya

    Habari zenu wakuu, Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo, washereheshaji, muziki, tarumbeta, nguo, picha, chakula na vinywaji, saloon n. k Naomba kuuliza...
  12. M

    Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

    Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho. Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana...
  13. Katibu itikadi na Uenezi CCM ashiriki kupika

    Vichekesho vya awamu ya 6 vinaendelea.
  14. Mbinu ya kuwakamata wapenzi wa jinsia moja Inayotumika Misri

    Nchini Misri, wapenzi wa jinsia moja wananyanyapaliwa sana, na kwa muda mrefu kumekuwa na madai kwamba polisi wanawinda LGBT mtandaoni. Sasa BBC imepata ushahidi wa jinsi mamlaka zinavyotumia programu za uchumba na kijamii kufanya hivi, Ahmed Shihab-Eldin anaripoti. Majina ya waathiriwa wote...
  15. Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

    Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia.... Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
  16. Je, mechi ya Simba na Yanga imeanza "kuchezwa"? Je hii picha inasema mbinu za nje ya uwanja zimeanza kutumika?

    Wajuvi wa siasa na harakati za nje ya uwanja inapokuja mechi ya Simba na Yanga embu tuelimishane. Wote tunakumbuka Clautus Chama alipotolewa katika mechi na Mbeya City alikwenda moja kwa moja vyumbani na baadae kurudi. Hii ikazua gumzo kubwa. Siku kadhaa baadae mchezaji wa Yanga anayevaa jezi...
  17. Haikuwa kazi rahisi kumng'oa Dr. Eliona Kimaro Kijitonyama, tulitumia mbinu nyingi ziligonga mwamba

    Niseme tu, hakuna marefu yasiyo na ncha. Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kum demolish Kimaro tangu akiwa Usharika wa Kariakoo. Kwa miaka mingi tumefanya mbinu na njama mbalimbali kumuondoa lakini hazikuwq na matokeo tuliyo yatarajia. Hivyo tukajaribu mbinu nyingine na nyingine tena...
  18. Mbinu niliyotumia kumrudisha mchepuko

    Mambo vipi wakuu, Twende kwenye mada direct, wiki chache zilizopita mchepuko wangu, nilimchana ukweli Kwamba Mimi Nina mke, isipokua toka niludi kutoka nchi jirani simuelewi kabisa ajanipokea kwa furaha (Ntaleta kisa cha wife) Na siku niliorudi uyu mchepuko alinifata stendi na kuniambia...
  19. Tupeane mbinu za kuweza kujidhibiti na uraibu wa soda

    Watu wengi sana wanapambana na uraibu wa sigara, pombe na madawa ya kulevya. Lakini wakishaushinda uraibu huo hujikuta wameangukia kwenye uraibu mwingine hatari lakini usio ongelewa. Uraibu huo sio mwingine ila unywaji wa soda, hasa mazingira yenye joto kama mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Tanga...
  20. F

    MANARA na wake zake wawili. Mbinu nzuri ya kulinda brand yake isipotee kipindi amesimamishwa kazi yanga

    Haji manara albinoz mjanjaz Baada ya Manara alipewa adhabu na TFF asingekuwa mjanja tungeshamsahau. Maana usemaji wake ndio kazi inayomfanya aonekane na kupata dili zingine. Mbinu yake ya wake wawili inambeba asisahaulike
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…