mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serikali hiki kitengo chenu cha mapato na leseni mbona hivi????

    Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza mtu,mapato ghafi au faida,au kuwepo tu na biashara ndani ya frem imekula kwako utakamuliwa tu?Haya mambo...
  2. T

    Idara ya Utafiti Sera na Mipango mbona imesahaulika CDM

    Nimepitia idara zilizoanzishwa na viongozi wake kwenye awamu hii ya Lissu makao makuu ya Chadema, ninahisi idara muhimu ya utafiti, sera ,mipango na teknolojia haipo au wamepitiwa tu. kiukweli idara hii ni muhimu ikawepo kwa vile kuelekea kushika dola suala la utafiti, sera na teknolojia za...
  3. Hivi kujenga mbona kama hakuna maana? - unajenga bangaloo lakini unazikwa kwenye kichumba cha mita 1*2.5

    Eti wakuu? Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali. Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
  4. ivi hii telegram ndo imekufa mbona hai respond tangu january?

    Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
  5. Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Makonda alimtaja...
  6. Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

    Wakubwa Habari... Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa? Ni mimi ndio sielewi ? Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge? Ama ile option ya betslip scanner...
  7. Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

    Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi Au labda Babda Barca vs Madrid Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling Hii...
  8. Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  9. Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?

    Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?? Mwili ndio mwili Yaan unaisha
  10. Balile na Pascal Mayalla je wanamtumikia nani , mbona hawana weledi katika kazi zao ?

    Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari. Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
  11. Mbona matukio ya kujiua yamekuwa mengi hivi?

    Habari wakuu Nasikitika sana kuona matukio ya watu wanajikuta hivi Kwamfano Kuna huyu jamaa aliyekuja kwasababu ya madeni ya mkewe eti mkewe ana Madeni ya vicobaaa duuuh aiseee Hii ni changamotoo wakuuu Karibuni kwa maoni
  12. Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  13. Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumuite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  14. Wana Yanga SC wakiongozwa nami tunahoji mbona Skudu Makudubela kaachwa Yanga SC kimya kimya wakati aliletwa nchini kwa Mbwembwe na Kufuru zote?

    Rais wa Yanga SC Hersi nimethibitishiwa kuwa si tu Unanisoma hapa JF, bali pia Unanifolo hivyo nakuomba unijibu upesi.
  15. Mbona kama sielewi wakuu?

    Mimi ni Wakiume bado ni Mwanafunzi wa chuo flani hapa Dar es salaam lakini ni nimepata kapesa kadogo .Nipo na 4.5Million nifanye biashara gani ase maaana sitaki kapotee? 😭😭
  16. Mbona sijaona kiongoz wa sokohuru akikamatwa maana ni muhamasishaji namba 1 wa LBL

    Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL Kupitia wao ni SOKOHURU Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
  17. U

    Huyo pichani nani? Mbona kabaki mwenyewe?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naombeni utambuzi Huyo nani? Why yuko pekee?
  18. M

    DOKEZO Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

    Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu. Kukosekana au kufungwa...
  19. Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  20. Nauliza mbona Telegram haifanyi kazi kwangu

    Wakuu, Naomba msaada, kwa nini Telegram haifanyi kazi kwangu? Wenye uelewa tafadhali nisaidieni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…