Inaweza kuwa ni kutokana na umahili, kukubalika, ubora wa sera, n.k:
Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
Ya nini kuandikia mate?
Jahazi la wabangaizaji linazidi kung'ara!
Wakuu Salaam sana!
Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama ...
Hakuna namna Mbowe anaweza kumshinda Mh.Lissu zaidi ya kununua wajumbe na kuiba kura. Wajumbe wengi wameonyesha kutokubali Mbowe kujimilikisha chama.
Kama huyu mtu amekosa aibu kabisa basi na sisi tusimuonee aibu kwa vyovyote. Tumuanike popote bila aibu anapotaka kununua mjumbe yeye mwenyewe...
The difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako...
Haya ni kutokea katika waliyosema wenyewe hadi sasa, watia nia hawa:
A. SERA ZA LISSU:
1. Ukomo wa madaraka kwa Kiongozi wa chama.
2. Uwazi katika mapato na matumizi.
3. Upatikanaji wa wawakilishi wa chama mfano Viti maalumu na ngazi zingine zifuate utaratibu.
4. Uwepo ukomo wa kupata nafasi...
Naona kama mna mdharau sana Mbowe kudhani ni mjinga kiasi cha kukubali mdahalo na T.Lissu. Hilo hatuwezi ruhusu Chama Cha Mapinduzi na Serikali haiwezi ruhusu.
Kisha na Chadema nayo itakataa na mwisho yeye mwenyewe pia atakataa. It will never happen. Hayo masuala ya mdahalo si utamaduni wetu na...
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Moderators spare this clip
Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa
Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal
Lisu...
Wanabodi
Merry Chritmas
Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter.
Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi wananchi tunachoamini ni kuwa kesi hiyo ilikuwa ni ya mchongo, ya kubambikiza na ya uonevu. Lakini...
Mhe Tundu Lissu tunajua utashinda Uchaguzi huu kwa zaidi ya 80%
Ombi letu sisi wafia chama tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf pale Makao Makuu ya Chama,
Tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali hakuna asijua hili
Jamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania.
Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais...
Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa. Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni...
Chadema imepitia mapito mengi:
Leo tukielekea katika uchaguzi wa Mwenyekiti, tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2013 pale Zitto na wenzake waliposuka mpango kazi wa kumng'oa Mbowe katika uchaguzi uliokuwa unakuja mwaka 2014.
https://www.youtube.com/watch?v=JYYNNnnqD18&ab_channel=MTAAKWAMTAA
I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance.
Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha.
Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.