Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini?
Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
Kwema Wakuu!
Kadiri siku ziendavyo mioyo ya watu waliobakia kwa Mbowe inazidi Kufa na wanaamua kujisalimisha kwa kuamua kumpumzisha Mwenyekiti ili kukinusuru chama.
Kila siku lazima atoke mwanachama wa CHADEMA aliyekuwa na wadhifa kumuunga Mkono Lisu. Jambo hilo linazidi kuwakatisha tamaa Team...
Wakati Mhe. Mbowe anatia nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chadema alitamka jambo zito sana linalowahusu vijana wa sasa.Naungana na Mhe. Mbowe katika jambo hili kwa sababu ni kweli kabisa vijana hawa na hasa wa kizazi hiki wamekuwa na mawazo vichwani mwao kuwaona wazee hawana akili. Vijana...
Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania.
Ni katika jitihada hizo, Mbowe aliwekwa mahabusu za polisi mara kadhaa, alifilisiwa kwa nguvu, alitumia muda wake, rasilimali...
Tumesikia toka kwa wanachama wa CHADEMA kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo.
Tunauliza, Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni, tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa...
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"
Pia soma...
Na; Garatwa Francis
Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola yao walikokificha kwa manufaa yao. Wengine wanawaza zaidi kuhusu tumbo zao na wengine wanawaza kuhusu...
Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga.
Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif.
Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali...
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.
Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?
Happy New Year 2025 in advance
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio...
Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema.
Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya...
Habari za Dominika wapendwa. Nakwenda kwenye mada. Naona Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe ametulia.
Hajibujibu tuhuma anazitupiwa na Watu wasiompenda. Hii inaonesha hekima, busara, uongozi uliotukuka.
Bila shaka wajumbe wa Mkutano Mkuu ndiyo waamuzi siku ya kura Kwa kuwa majibu yatapatikana...
BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21.
Ndugu Wajumbe,
Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na waandishi wa habari pamoja na watoto wake tu hata hao wanaosema mitano tena hakuwepo hata mmoja.
Sasa...
Ilikuwa kama utani na ilianza tetesi kwamba Tundu Lissu ameamua kupambana na Mwenyekiti wake ili kumpata kiongozi mpya atakayekiongoza chama hicho kwa miaka mitano ijayo
Sasa ni rasmi mafahali hawa wawili wameingia ulingoni ili kuamua ugomvi wao kupitia sanduku la kura.
Freeman Mbowe...
https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU
Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana.
Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza...
Sabato Njema!
Kambi ya Mbowe ingekaa ikatulia, ikatafakari, ikahesabu kila hesabu na chenchi zake. Hakika kama wangefanya hivi wasingemruhusu Mbowe Agombee tena.
Ningekuwa kwenye hiyo Kambi, ningewashauri; "Tunahitaji Kambi yetu iendelee kuongoza. Sisi ni wamoja. Nasema uongo?"
"Mbowe tayari...
Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu .
Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake .
Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka .
Ni swala la muda tu.
Mheshimiwa Lissu ameweka na kufafanua kwa kina sera zake ikiwa atashinda uwenyekiti wa CHADEMA
1. No reform no election. Hakuna kumchekea Samia wala CCM
2. Kuwe na ukomo viti maalumu bungeni
3. Kuwe na ukomo kwenye uongozi wa chama
4. Kupeleka rasilimali za chama ngazi za chini badala ya...
Ukweli mchungu:
Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.