Nimetafakari sana nimeona namna pekee ya kukinusuru chama rafiki CHADEMA ni Lissu kukubali matokeo na kumuunga mkono mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe mara baada ya uchaguzi wao. Kinyume na hapo CHADEMA haitasalimika. Itavunjika vipande baada ya muda mfupi.
Lissu na genge lake...
Je kwa nyakati hizi za sasa za Polisi, Usalama wa taifa wa kujihusisha moja kwa moja na chaguzi na kunyima demokrasia. Kuna mbinu gani tofauti Mbowe akiwa mwenyeti kwa miaka mitano atazitumia ambazo ni tofauti na mbinu alizozitumia kwa miaka 20?
Hii itasaidia kujua kusudi lake hasa la kugombea...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema wapambe ndio wanaosababisha migogoro kati ya Freeman Mbowe na...
Muda wa kulipa mchango wa ghalama za uchaguzi (dead line) bado. Kwa nini Mbowe akimbilie kulipa zaidi ya kiwango alichopangiwa?. Hiyo ni rushwa. Nashauri arudishiwe na kama kutakuwa na ulazima tutaambiwa tuongeze kama kuna baadhi ya wachangiaji hawatatoa. Hata kauli ya Wenje kumtanhgaza Lissu...
Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi
Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani
Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai...
Msikilize kwa makini if interestd anyway! Nawakaribisha machawa wote wa FAM na TAL, kuna cha kujifunza kikubwa kuhusu wajumbe kuwa informed who to vote for!
Maridhiano basi, sasa utatumia mbinu gani? vita? Utakinukisha kwa vipi? vita?
msikilize
https://www.youtube.com/watch?v=4bFvRvum5Ow
Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani .
Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, Kamati Kuu ya Chama inatarajiwa kukutana tarehe 6 Januari 2025 kwa ajili ya kujadili masuala mawili makubwa: uvujishaji wa taarifa za ndani ya chama na tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu. Hii imeibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa...
Mwenyekiti wa CCM Kibaha akimsifia Mbowe na kumtakia aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema vinginevyo chadema itakufa.
Huu urafiki unaooneshwa na ccm kwa Mbowe, hasa wakati huu wa uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chadema unatokana na nini?
Ni kweli kwamba Mbowe ni mwenzao?
Great Thinkers!
Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba unijubu maswali haya,
1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
Katika moja ya mambo ya maridhiano baina ya Chadema na Mhe.Rais ilikuwa inahusu wafungwa wa kisiasa, Chadema waliomba mchakato wa kisheria uweze kufanyika ili watu wao waliokuwa magerezani waachiwe.
Mbowe aliliongea suala hili akipinga wale waliokuwa wanadai kuwa maridhiano hayakuwa na tija...
Habari wana mageuzi? Nilifuatilia hotuba za magwiji hao wawili wakati wanatangaza nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. Lissu alisema akiwa mwenyekiti Chadema ataweka ukomo wa uongozi Chadema ili kutoa fursa kwa vijana kuchukuwa nafasi ya uongozi. Mbowe yeye slisema hawezi kuachia chama...
jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa...
Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
chadema
kijamii
lisu
maarufu
maoni
mbowe
mitandao
mitandao ya kijamii
mkutano
mkutano mkuu
mkuu
moja
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
taifa
uchaguzi
uchaguzi wa mwenyekiti
upande
ushindani
wajumbe
wengi
Soma mwenyewe hii sehemu inayopatikana ktk Waraka wa Chacha Wangwe alioutoa wakati anagombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa".
Soma mwenyewe hapa chini sehemu ya waraka huo:
UTEUZI WA WABUNGE WA VITI MAALUM
...."Naamini ukweli wa suala hili hauna mjadala. Kwamba Mhe. MBOWE na wafuasi wake...
Aliyasema hayo Dr. Slaa kuhusiana na Uchaguzi 2015 na issue ya kile kituo cha kukusanyia matokeo. Kile kituo kilikuwa cha siri na watu waliofahamu wachache Mbowe akiwepo.
Inasemekana yeye ndo alitoa siri kwa akinq Jan Makamba akapokea Bil 5. Ili asaliti mapambano.akatoa siri ya wapi hicho kituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.