mbowe

  1. G Sam

    Mbowe aliiweka Chadema rehani kwa Samia. Sisi tulimuuliza kwani kuna shida gani mzee? Mbona uwezo tunao huku ukituweka rehani?

    Watu hamjui tu ila hili sekeseke la Chadema na Samia tulianza nalo mwaka 2022 mwishoni. Ilikuwa ghafla sana mwenyekiti wetu alibadili "jia" angani. Aliyosema Lissu leo ni ukweli mtupu. Ndani ya Chadema kulikuwa na vuguvugu sii la kitoto. Mnyika ni shahidi. Mwenyekiti alikuja na mapendekezo...
  2. figganigga

    Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

    Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
  3. K

    Mwenyeiti Mbowe kubali yaishe

    Nimesikia mengi toka huku mitaani. Wanakusifu sana jinsi ulivyoongoza CHADEMA kwa muda wa miaka 20 lakini wanakuomba kwa uchaguzi ujao KUBALI YAISHE. Unaombwa kumuachia mwingine naye asimamie na kuongoza Chama. Uchaguzi ujao iwe jua au mvua Lissu anaenda kukushinda. Naomba using'ang'anie...
  4. M

    Inawezekana kuwa Mbowe na watawala kuna mambo walikubaliana lakini yeye hakuwashirikisha wenzake, au aliowashirikisha wamevujisha

    Huu mnyukano unaoendelea ndani ya CHADEMA, Kwa maoni yangu, unachangiwa na mambo yafuatayo. 1. Inawezekana Kuna mambo ambayo Mbowe na watawala wamekubalina lakini yeye kama mwenyekiti ameshindwa kwashawishi wajumbe, au amewazunguka. Kwahiyo Kuna baadh ya viongozi au wajumbe,i watakuwa...
  5. Cannabis

    Baada ya Lissu, Mbowe, Wenje na Heche sasa ni zamu ya John Mnyika kuunguruma

    Katibu mkuu wa CHADEMA anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kesho 07/01/2025 saa tano asubuhi katika makao makuu ya chama hicho.
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

    Wakuu Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma" Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa...
  7. Q

    Naomba ushauri, uenyekiti kura yangu kwa Mbowe, M/Mkiti kura yangu kwa Heche

    Hiyo combination ni sahihi? Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei. Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea sahihi Wenje hapana. Heche is fit even for chairmanship. Lissu - Wenje it will be a worse combination...
  8. britanicca

    Ukweli usemwe! Mbowe amejengwa na wanaosema kawajenga yeye

    Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005...
  9. muafi

    Matokeo yoyote ya Uwenyekiti CHADEMA, Hayatamnufaisha Mbowe, ni wakati sahihi wa yeye kujitoa kulinda heshima yake!

    Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe, Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa bao la mkono au vyovyote vile basi Chama kitapoteza ushawishi sana kwa wananchi na wanachama wa...
  10. msovero

    Yericko Nyerere: Nyumba aliyoshambuliwa Lissu ni ya mbowe

    Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi kuwa, nyumba aliyoshambuliwa Mh. TUNDU LISSU haikuwa yake Bali ilikuwa ya Mh. FREEMAN MBOWE ambaye ni...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Heche wajumbe kanda ya Ziwa, Lissu Kanda ya Kati, Msigwa na Mdude Nyanda ya juu Kusini, Mbowe hapo anatokaje? Kabaki na Sugu tu

    Embu ona! CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi CHADEMA. Wajumbe wengi wa kanda ya Kati hawawezi kuacha kumsikiliza Lisu ndugu Yao ati wamsikilize...
  12. R

    Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

    Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake! Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea. TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Pre GE2025 Mkiambiwa Mbowe hatoboi muwe mnaelewa

    Habari za jumapili. Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21. Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili. Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe. Ushindi pekee aliobakiwa nap...
  14. Even MOre

    MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa. 1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika...
  15. F

    Wakati mambo makubwa ya utawala wa Magufuli yakitazamiwa kufichuka siku za usoni, Mbowe anahitajika sana kuendesha maridhiano ya hatua ya pili.

    Eric Kabendera ameandika mengi ya kustaajabisha kuhusu hayati John Magufuli aliyekuwa rais wa awamu ya 5 Tanzania. Ukweli kuhusu walipo akina Ben Saanane na Azorly Gwanda umewekwa wazi katika kitabu hicho. Wakati umma ukiwa na taarifa pengine za kuweza kuaminini kwa kiasi kikubwa, inashangaza na...
  16. Suley2019

    Pre GE2025 Mbowe: Uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndiyo uomo wa madaraka

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa katiba ya chama hicho uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndio ukomo wa madaraka. Mbowe aliyeiongoza Chadema kwa miaka 20 tangu 2004, ameyasema hayo jana Desemba 3, 2025 katika mahojiano na Crown Media jijini Dar es Salaam. “Katika...
  17. J

    Mbowe: Rais wa JMT ni Taasisi ila sisi kama Chadema ni Kikundi tu Cha Watu tunaojitolea hatuhitaji Term Limit!

    Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ameahidi kuheshimu Ukomo wa Madaraka pindi Chadema ikiingia Ikulu Source: Crown media
  18. The Assassin

    Pre GE2025 Mbowe: Chama chetu hakina ukomo wa Madaraka na msitulazimishe kuwa kama CCM ama Act Wazalendo wenye ukomo wa Madaraka kwa viongozi

    Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka. Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Mbowe ameingiwa na hofu. Nini kimempa Hofu na kukata tamaa?

    Habari za Sabato! Nimeona Mbowe Akihojiwa na Kikeke. Kwa kweli hofu ipo dhahiri machoni mwake. Hata body language yake inamkataa akijaribu kuficha hofu yake. Ni kama amekata tamaa pakubwa. Ingawaje wafuasi wake wanahangaika kupambana, na kumtia moyo lakini jitihada Zao zimefua dafu kuondoa...
  20. Rula ya Mafisadi

    Afisa wa Makao makuu CHADEMA atoa siri nzito za J.Mnyika na F.Mbowe kumbe CHADEMA kushika dola chini ya Mbowe ni ndoto

    Anaandika Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu. === Mjumbe Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na wanachama wote nawasalimu kwa salaamu ya Chama. Bila kukupotezea Muda naomba kukushirikisha kauli nzito na muhimu kwa wakati huu iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Taifa. Ilikuwa...
Back
Top Bottom