Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa.
Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa.
Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje!
Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
Chama ni watu na watu ni chama.
Mbowe na Genge lake Kwa kuwasikiliza tu ni watu wabinafsi, walotanguliza Mali , watu wasojali wanachama wao na gharama ambazo wanachama wanalipa...ndio Sababu kwao ni rahisi sana kununulika.
Hata hivo, CHADEMA itakufa Kifo cha Mende endapo LISSU ATAPOKONYWA...
https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...
Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..
Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
freeman mbowe
makao
makao makuu
mayemba
mbowe
mbwa
mkoa
mwenyekiti wa chadema
njombe
ofisi za chadema
rose
rose mayemba
rushwa
uchaguzi
uchaguzi 2025
walinzi
1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee.
2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA?
3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP
Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu.
Ukipewa rushwa kula ila kamwe usiuuze chama kwa vipande vya pesa.
1. Bila Mheshimiwa Dr Bilionea Freeman Mbowe (Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mstaafu (KB Mstaafu) basi hakuna CHADEMA.
2. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea mwanaharakati "uchwara" anajidai ana uchungu. Huku hataki kuchangia Chama.
NB: Nafasi ya Mwenyekiti si ajira...
Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2
Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa.
Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence"
Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu,
HOJA YANGU,
1. KURA ZA MBOWE ZIKO WAPI?
2. JE, WAPIGAKURA WA MBOWE NI MABUBU?
3. JE, WANAOGOPA NINI...
Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema
Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti wastaafu na atakuwa YEYE na Mzee Mtei
Star tv
Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kuunderestimate Nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, Namshauri Lissu awamu hii akubali amekosea hesabu zake za kisiasa na ni wazi hatamuweza Mbowe atashindwa ila anaweza kurekebisha Makosa baada ya awamu hii kama kweli bado atakuwa anahitaji kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu,
Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama,
Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje?
Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa...
Kama Freeman Aikael Mbowe akishinda au Tundu Antipas Lissu akishinda, unadhani kitatokea nini kwenye mtizamo na msimamo wa CHADEMA juu ya mambo haya yafuatayo;
1. Marekebisho ya Katiba ya CHADEMA
2. Ruzuku inayotolewa Kwa CHADEMA
3. Mgombea Urais chadema uchaguzi Mkuu mwaka 2025.
4. Mfumo wa...
Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana.
Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele ya press kuwa Mbowe ni baba yake kisiasa , amemlea na anamheshimu , bado Mbowe anadai Heche...
Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana.
Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele ya press kuwa Mbowe ni baba yake kisiasa , amemlea na anamheshimu , bado Mbowe anadai Heche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.