Alianza Lisu kuchukua fomu na kutoa hoja zake ni nini atakifanyia chama endapo atachaguliwa , Mbowe katoka hadharani na kudai kuwa Lissu anamtukana.
Amekuja John Heche , pamoja na kueleza mbele ya press kuwa Mbowe ni baba yake kisiasa , amemlea na anamheshimu , bado Mbowe anadai Heche...