Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu
Edo amesema “ningekuwa...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti
Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa
Mtu yeyote mwenye hela hata za mihadarati au kibaraka wa watu waovu wanaweza wakapewa Kwa sababu ya kuwa...
Kwa taratibu za Chama hasa kwenye nchi za demokrasia Mh Mbowe angetakiwa kustaafu kwa manufaa ya uma. Waziri mkuu wa Canada ametangaza kustaafu sio kwasababu kashidwa uchaguzi lakini ni kwasababu viongozi wenzake wa ndani ya chama wamekosa imani kwake. Uingereza hii inatokea mara nyingi sana na...
Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
Wakuu, Matajiri wa Kiafrica Ni wapambanaji sana Ili kuleta ustawi wa Familia na Koo zao, Huwa hawalali Na Kiukweli hujitahidi kadiri ya Uwezo wao familia Kusimama!
Pamoja na Mazonge yote watu hawa wamejawa na Siri nzito sana na Pia ni watu ambao huishi kwa Machale muda wote
Matajiri wa...
Hellow!!
Ndugu Lema ni muumini wa DEMOKRASIA, sasa HOFU inatoka wapi ikiwa wanachadema wanataka mabadiliko ya Kweli?
Si vyema kuruhusu bundi aingilie madirishani!
Karibuni 🙏
Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine.
Kwa hotuba hii ya John Pambalu:
Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa:
"Pesa kitu gani?"
Kwamba, pesa makaratasi!
Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.
Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Wakuu,
Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.
Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi?
Mbowe ajitafakari sana!
Mpo salama!
Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati.
Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine.
Round hii, Lisu ambaye ni mbangaizaji anaenda kumbwaga Mbowe pedeshee.
Wale wanaoiabudu pesa na kuiona mungu wao...
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH...
Ndugu Mwenyekiti, miaka 21 ya kuwa mwenyekiti ni mingi sana, isitoshe umeshafanya mengi mazuri kama Mwenyekiti na kwa sasa hatutarajia jipya lolote kutoka kwako bali tunatamani kukuona unastaafu kwa heshima na kuachia wengine waendeleze guruduma.
Pengine Mwenyekiti sasa utuambie CHADEMA kuna...
Wapendwa ushauri huu 👇🏾
“Siasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs”
😀😀
Haya msinitafute baadaye na ma presha huko!
Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe!
Haya muwe na usiku mwema 👊🏽
............
User mwengine akajibu hivi;
Siasa za Africa 🌍 ndivyo zilivyo
Wanasiasa wanatofautiana...
Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa kuona mambo kwa upana.
Kwa wanaoelewa hali ya kisiasa ilipofikia hata Vikao vya ndani vya Chama...
Kwa miaka ishirini na moja, umetutumikia,
Katika dhoruba na mawimbi, haukutetereka,
CHADEMA umekijenga, ukakifanya ngome,
Freeman Mbowe, bado tunahitaji huduma zako.
Busara zako ni taa, zinazoongoza njia,
Uadilifu wako ni chemchemi ya tumaini,
Kwa haki na usawa, umetufunza kupigania,
Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.