https://youtu.be/wotqcW18b80?si=NFAt1ArFxLTbV80L
Wakuu,
Mbowe kachokwa na Wanachama na Watanzania kwa ujumla, sijui ni kwanini hasomi alama za nyakati?.
https://youtube.com/shorts/N_2vsS8I9r0?si=zsAT7UMXzF9JhWzB
Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.
Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
Ktk X account yake ameandika karibu chairman katika picha hii.
Hii ni utovu wa nidhamu mkubwa ktk siasa
Sasa Mbowe utamwita nani? Wakati yeye ndio chairman?
Chama chenye dola kama CCM unaweza kuandika hivi?
Ushauri
Mitandao ya kijaamii yasikuvimbishe kichwa, utapotea ktk siasa za upinzani mpaka...
Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha...
Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi
1. Wajumbe kuhakikiwa live
2. Kura kupigwa live
3. Matokeo kuhesabiwa live
4. Mshindi kutangazwa live
5. Mshindi kuhutubia live
6. Mshindwa kuhutubia live
Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.
Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha...
Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya chama na mamlaka ya viongozi wenzake, hata kama Lissu anamsema hovyo, lakini Mbowe anaonyesha...
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
"Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu"
"Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman...
“Dhana ya uongozi wa kisiasa inakwenda na dhana ya malengo, maono, dream si kila wakati ku-quit ni suluhisho, kwa hiyo lengo letu ni nini? Ni kukamata dola. Lengo hili halijatimia”
Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.
Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini.
1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda kwa mfano.
*Ulipomleta Lowasa CHADEMA wakati ukijua chama kilikuwa na msimamo thabiti dhidi yake...
"Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama,"
"chama chetu kimeweka ukomo wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema
"Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama.
Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko
Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika pahala akaona kipaji chake ni kama kimeanza kushuka kwa kutumika miaka mingi, hustaafu kucheza na...
Wakuu
Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa;
"Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5
Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee Jeremiah Masanja ametoa maoni na mtazamo wake juu ya hali ya CHADEMA sasa na wagombea uenyekiti wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.