mbunge musukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Huwezi Pata Cheo Kwa Kumpiga Shoti Mwenzio,Cheo Kinawafuata Watu Wema.Bunge Lalindima Kwa Shangwe akimuelezea VP Mteule Deo Ndejembi.

    My Take Wale wanafiki,ma snitch na wasaliti (Yuda) wataendelea kuteseka sana na vyeo wanavyotafuta Kwa kuwapiga Shoti wenzao hawatakuja kuvipata qataishia kuviona Kwa wengine tuu. Naunga mkono hoja,ujumbe umefika. https://www.instagram.com/reel/Dck4hG8sBO3/?igsi=MTYzN3EwaGZuYWdyNQ==
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Wabunge wengi wa Zanzibar ni wavivu. Wanasingizia wanabanwa kwenye Muungano

    Mbunge machachari 'Musukuma', amedai kuwa baadhi ya wabunge wa Zanzibar ni "wavivu" na wamekuwa wakitumia Muungano kama kisingizio cha kuficha udhaifu wao wa kutowahudumia wananchi Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua "Mi toka...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Siamini kama CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani

    Alichozungumza Mbunge kwa Podcast ya M&S Podcast ambapo amedokeza kuwa CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani kwa sababu hawana mbunge yeyote bungeni kama ilivyokuwa zamani Nachukizwa ninapomwona Mbunge kama Musukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika kama Chama Kikuu cha...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ardhi Katoro: Mwenye hati ni CCM, sisi ni watoto wa CCM; tutashauri chama, mwekezaji anamuharibia Rais wetu

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mwalimu Jumanne Misungwi, ametaka hekima na busara zitumike katika utatuzi wa mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwa mali ya Serikali, akisisitiza umuhimu wa kufanya vikao vya ndani ili kupata suluhisho la kudumu. Misungwi ametoa kauli hiyo kufuatia...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama sio sifa ni nini? Mbunge Musukuma atangaza kuwachangia gharama za kuchukua fomu, watiania wanaolitaka jimbo lake

    Wakuu, Yaani katika wabunge wenye sifa huyu nae ni namba moja. Mbunge wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo. Msukuma amesema hayo...
Back
Top Bottom