Mbunge Musukuma: Siamini kama CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Alichozungumza Mbunge kwa Podcast ya M&S Podcast ambapo amedokeza kuwa CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani kwa sababu hawana mbunge yeyote bungeni kama ilivyokuwa zamani

Nachukizwa ninapomwona Mbunge kama Musukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika kama Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania.

Huu ni ushamba

Leo hii Musukuma hajui kwa nini CHADEMA haina Mbunge ?
 
NATAMBUA ushamba walio nao wasukuma, lakini nachukizwa ninapomwona MBUNGE km msukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika km chama kikuu cha upinzani Tanzania huu ni ushamba na upumbavu juu.

Leo hii msukuma hajui kwa Nini CHADEMA haina MBUNGE real?
Punguza tunguli hata ndani ya chama chako utatolewa mapema.
Hoja Yako ni nzuri sana ila umeileta kipumbavu sana na kijinga na umenikwaza,

Siwapendi CCM wote na mwenyekiti wao ndio kabisaa, ameleta majanga makubwa katika nchi yetu

Amesababisha taharuki kubwa na kwa nini yupo mpaka sasa,
 
Porojo na kujikakamua tu ila Ukweli anaujua na kuna kipindi alivurugwa CCM akawa anataka kuhamia CHADEMA ,Nape na Kinana waliokoa jahazi na ndiyo chanzo Cha kuzaliwa Jimbo la Geita Vijijini aliko ili akatulie.Aliutaka Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini katika kipindi ambacho CHADEMA walikuwa wamejizatiti vilivyo na wamelilainisha sana chini ya Geologist wa GGM-Rogers Luhega.Musukuma mpaka alianza kufanya majaribio kadhaa ya kumuua Rogers.Niliwahi kumtembelea nyumbani kwake enzi hizo mitaa ya Bomani,nikakuta ndani ya nyumba yake sebuleni pana mishale mitatu inaning' inia,akanieleza ni kumbukumbu ya jaribio la kutaka kuuawa, jaribio liliroratibiwa na Musukuma kwenye Mkutano mmoja wa hadhara ambao mishale hiyo ilimkosa kosa.
 
NATAMBUA ushamba walio nao wasukuma, lakini nachukizwa ninapomwona MBUNGE km msukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika km chama kikuu cha upinzani Tanzania huu ni ushamba na upumbavu juu.

Leo hii msukuma hajui kwa Nini CHADEMA haina MBUNGE real?
Punguza tunguli hata ndani ya chama chako utatolewa mapema.
sidhani kama kuna mtu anatambua chama ambacho hakina hata diwani au mbunge moja nchi nzima eti ni chama kikuu cha upinzani.

na kama ni hivyo,
that's very wrong and completely nonsense.

chama ambacho hakina hata sifa ya kushiriki uchaguzi hakiwezi kua chama kikuu cha upinzani Tanzania na kote ulimwenguni. Hiyo ni useless 🐒
 
Huachagi kutingisha viuno mwamba wewe NI dizaini gani ya binadam ?
 
Basi kama siyo Chadema ni chama kipi ni kikuu cha upinzani? Maana kila siku neno CHADEMA halikauki kwenye midomo ya wakuu wake, hakina mbunge, lakini kinawapeleka puta mpaka kitambi anaonekana ni useless minister since independence
 
NATAMBUA ushamba walio nao wasukuma, lakini nachukizwa ninapomwona MBUNGE km msukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika km chama kikuu cha upinzani Tanzania huu ni ushamba na upumbavu juu.

Leo hii msukuma hajui kwa Nini CHADEMA haina MBUNGE real?
Punguza tunguli hata ndani ya chama chako utatolewa mapema.
kuhusu hizo nonsense,
huenda mnaweza kua mnaelewana wafuata mkumbo pekee gentleman 🐒
Hapana toa majibu ndugu wewe NI gasho Nini?
 
zingatia maelezo kwenye komenti yangu ya msingi na itapendeza zaidi gentleman,

Lakini pia,
ni muhimu zaidi kuepuka mihemko nonsense jukwaani ikiwa uko pointless.

waambie na wafuata mkumbo wenzako kuhusu hili bila kificho, okay?🐒
 
Kumbe wewe kidole juuu Basi poa ndugu Kama ndivyo u livyo tukusamehe vijana wa lumumba wamekupopoa marinda wameondoka nayo uuuuuuuuwwwwwwwiiiiiiiiiiiiii
 
zingatia maelezo kwenye komenti yangu ya msingi na itapendeza zaidi gentleman,

Lakini pia,
ni muhimu zaidi kuepuka mihemko nonsense jukwaani ikiwa uko pointless.

waambie na wafuata mkumbo wenzako kuhusu hili bila kificho, okay?🐒
Kweli mkuu
 
NAMI nimepata kitu hapa lakini kiongozi Tlaatlaah
 
Alichozungumza Mbunge kwa Podcast ya M&S Podcast ambapo amedokeza kuwa CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani kwa sababu hawana mbunge yeyote bungeni kama ilivyokuwa zamani

Nachukizwa ninapomwona Mbunge kama Musukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika kama Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania.

Huu ni ushamba

Leo hii Musukuma hajui kwa nini CHADEMA haina Mbunge ?
Je unaamini katika kile chama mfuu?
 
Nakazia palepale tu kuwa hata Haya uliyoandika ni mtazamo wako
 
Alichozungumza Mbunge kwa Podcast ya M&S Podcast ambapo amedokeza kuwa CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani kwa sababu hawana mbunge yeyote bungeni kama ilivyokuwa zamani

Nachukizwa ninapomwona Mbunge kama Musukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika kama Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania.

Huu ni ushamba

Leo hii Musukuma hajui kwa nini CHADEMA haina Mbunge ?
Yuko sahihi kabisa, cdm sio chama kikuu cha upinzani nchini, bali ni chama kikuu cha siasa Tanzania. Utaratibu wa kuwa chama kikuu cha upinzani ni iwapo utashiriki uchaguzi ambao ccm wanapanga nani atangazwe mshindi. Cdm wamegoma kuburuzwa na ccm, hivyo hawajashiriki huo uchaguzi wa kihuni. Kwa kutoshiriki uchaguzi unaodhibitwa na ccm, automatically hawawi chama kikuu cha upinzani.
 
Back
Top Bottom